Nani anafuata kupandisha gharama ya huduma...

Itoye

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
531
1,024
Salaam,
Baada ya mabadiliko ya gharama za vifurushi vya simu ambavyo kimsingi gharama imeongezeka baada ya kupunguza ujazo kwa gharama ilele na baada ya miaka hii 5 ya utulivu. Nani wengine wanafata ktk kuongeza gharama za huduma zao?

Je! tunaweza kushuhudia Tanesco, Ewura nk nk nao wakifuata muelekeo huo.

Rest in Peace JPM.
 
Back
Top Bottom