Nani anafadhili Change Tanzania?

Nani anafadhili Change Tanzania?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,967
Kuna hii taasisi inajiita change Tanzania inayoongozwa na Maria Sarungi.

Ningependa kujua hii taasisi nani anaifadhili maana inaonekana kuendesha makongamano na matamasha ya kiuanaharakati kila mara ila hawana biashara yoyote ya kuwaingizia kipato.

Swali langu, je nani anaifadhili hii taasisi?
 
Back
Top Bottom