Nani anafaa kuwa waziri mkuu baada ya Pinda?

waziri mkuu anayefaa ni LOWASSA AU AGGREY MWANRI hakuna zaidi ya hawa kuongoza kwa uwezo na umakin wao
 
Watanzania tuko zaidi ya milioni 40. Mimi nafikiri yeyote anafaa tu. Ili mradi awe na miaka 18 na asiwe kichaa. anaweza kuongoza kuliko Mh Pinda.

Sio kila mtanzania,unataka kusema hata Slaa na Lusinde wanaiweza?Mbowe je?
 
Kuna mtu anapendekeza Anah makinda ndio awe wazir mkuu na sita arudi kwenye uspicker
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom