lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Cjakupata kwani mm naona rais atapatkana 2020 ambaye ni zzk.
team ACT
Cjakupata kwani mm naona rais atapatkana 2020 ambaye ni zzk.
Weka na vigezo vya huyo ulie mchagua
Vizuri awe MUISLAM maana kuna moto unawaka.na ni muislamu tu atakayeuzima.
Gwajima.
SLAA ana kariba ya uongozi ,anapendwa na kila mwananchi, ni jembe la kweli ,2010 alipita ila magwanda yakaiba kura zake,

Tusiweke maswa ya udini msione wakiristo wako kimya mkadhani niwajinga au dhaifu siku wakiamua sijui mtaenda wapi wakiristo wamejengwa namisingi ya upedo uvumilivu lakini ninyi mnataka jino kwa jino haya endeleeni make kusikia kwa kenge hadi damu imutoke masikioni:what:
Ni kweli wewe hupendi udini hali kadhalika mimi na wengine...lakini tuwe wakweli na tumuogope MUNGU,udini upo hapa nchini na watu wanautumia kama ngazi ya kufanikiwa mahitaji yao.Mifano halisia iko mingi.
Vizuri awe MUISLAM maana kuna moto unawaka.na ni muislamu tu atakayeuzima.
Tukiwasikiliza sera zao wakati wa kampeni tutajua yupi tumpe