Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Fistula mbaya sana...ok,,vyema atakuwa rais,ila ni rais wa Lumumba..
 
Fistula mbaya sana...ok,,vyema atakuwa rais,ila ni rais wa Lumumba..
Kwani kuna Rais wa Tanzania ambaye hajatoka Lumumba?wote wanatoka Lumumba ndio maana tuna hakika kuwa safari hii Lumumba itamtoa mtoto wa mfugaji toka ilamba
 
Niwaombe msianze kutukana toweni maoni yenu kwa faida ya nchi yetu.mtoa mada ametumia muda wake kutupa haya
Jukwaa hili lingekuwa na watu wenye mawazo Kama yako wakutosha ingependeza Sana tatizo wamejaa viroba wa bar-ya-vichaa pale ufipa ndio shida wao badala yakujibu hoja wanaanza kutukana
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    136.8 KB · Views: 73
  • image.jpg
    image.jpg
    129.5 KB · Views: 74
  • image.jpg
    image.jpg
    118.2 KB · Views: 78
  • image.jpg
    image.jpg
    108.8 KB · Views: 72
  • image.jpg
    image.jpg
    73 KB · Views: 69
pyuuuuuuuuuuuuuuuu huyu sijui katumwa aje apime upepo???
 
Hoja zake na utendaji usio na shaka ni rushwa tosha kwa wajumbe na wananchi kwa ujumla

Kama huna pesa hata uwe na hoja nzuri namna gani,wewe ni debe tupu tu.

Wajumbe wenyewe njaa kali halafu wewe ulete mapambio.
 
Mwingulu Nchemba ameiingizia serikali hii hasara ya mabilioni tangia afanye blunt and stupid decision. Taarifa tunazo na tunakalibia kumaliza na kumpeleka mahakamani TZ first Economist.

Acha kuropoka na kubwabwaja maneno yasiyokuwa na tija. hasara za mabilioni zipi? weka ushahidi hapa hatuamini maneno. no evidence no right to speak.
 
Back
Top Bottom