Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Mabadiliko ni vitendo by Mwigulu Nchemba
Wee baki hivyohivyo Mwigulu ni Gari kubwa watanzania wa Leo sio wa Jana.Huoni aibu kuja hapa kunadi pesa badala yakunadi uwezo wa MTU.
Poor you

We hujielewi pamoja na hilo gari kubwa lako labda aanzishe chama chake ndo watampitisha bure.

CCM kama huna pesa ama huna wanamtandao wenye pesa we ni Fa.la tu hata wewe unalijua.

We endelea kujitoa ufahamu na hizo multiple IDs zako.

Mwingulu ana uwezo gani sasa tofauti na wengine?
 
Tunakumkubali sana jamaa na tuko tayari kumpigania kwa gharama yoyote kwani huyu ndiye raisi wetu mtetezi wetu sisi wanyonge na masikini.

Haya.

Kila la kheri wanyonge na masikini na huyo mtetezi wenu.
 
Haya.

Kila la kheri wanyonge na masikini na huyo mtetezi wenu.

Ndio tunamwamini na wewe endelea kuwa mfuasi wa mafisadi ila 2015 segerea inawasubiri mafisadi wote.Mwigulu lazima awashughulikie maana mmetafuna nchi vya kutosha
 
Ubunge wenyewe tia maji tia maji -iweje urais???

Akiendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM katika vijiji vya Kidaru,Luono,Tulya na Dolomoni, kaimu Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amefurahishwa na utekelezaji wa miradi ya mbalimbali ya maendeleo ambayo inazidi kukamilika kwa asilimia kubwa kama maji tayari kuanzia jumatatu,Wataalumu kutoka Marekani(Amewatafuta Mwigulu)wakishirikiana na wazee wa kila kijiji wanaanza Kuchimba Visima vya Maji zaidi ya 150 kwa kila kijiji cha jimbo la Iramba.Wakati huo huo trekta lipo Misuna linachimba Mabwawa ya kuhifadhia maji,Baada ya Misuna litaendelea kuchimba maeneo mengine.
Pia kwa sasa
Mwigulu ameshaanza kusambaza Umeme vijiji vyote vya jimbo la Iramba tukianzia Kaselya hadi ndago Wakandarasi wameshaanza na Nyaya za Umeme zimeshawekwa,Kutoka Shelui hadi Kidaru nguzo zimefika Mingela.
Pia Mtenkente,Urughu,Makunda,Kinapanda na Vijiji vyote,Ndulungu n.k Mafundi wapo kazi kuweka michoro.
Huku wananchi wakizidi kumsihi agombee urais 2015 ili asimamie vema rasilimali zetu kama anavyofanya sasa katika fedha.
"Mabadiliko ni Vitendo"
 
Mwigulu Nchemba alimaarufu SOKOINE WA PILI & MTETEZI WA WANYONGE Akiwa bado hajatangaza nia yake rasmi ya kugombeaUrais 2015, utafiti wa moja ya taasisi (Jina limehifadhiwa kwa usalama) unaonesha kuwa mzalendo huyo anazaidi ya asilimia 75 ya kushinda Urais ndani ya chama na ndani ya umma kutokana na msimamo wake wa kutetea wanyonge kwa kufa na kupona.
Jamani tuache kudharirisha viongozi waliotangulia kwani sote tunajua jinsi Sokoine alivyosimamia uadilifu na kuchukia dhuluma. Nili lini ulimsikia Sokoine kapanga mashambulizi ya mabomu kwa wananchi wake mwenyewe!?

 
hamna mtu hapo............

Amejenga Maabara na Zahanati,Madarasa,Nyumba za Madaktari na walimu kata zote za Iramba kwa Kuchangia Malipo yote kwa Mafundi,Mifuko 150 ya CEMENT KWA KILA SHULE,ZAHANATI NA NYUMBA ZA WALIMU NA WAGANGA,
 
Jamani tuache kudharirisha viongozi waliotangulia kwani sote tunajua jinsi Sokoine alivyosimamia uadilifu na kuchukia dhuluma. Nili lini ulimsikia Sokoine kapanga mashambulizi ya mabomu kwa wananchi wake mwenyewe!?


Acha Propaganda za Mtaa wa Ufipa!!!Mwigulu ni kiboko yenu Chadema na saccos yenu.
 
We don't vote for or elect a president because he or she is poor or has a poverty background in his or her CV. The presidency is the highest post in the Nation that needs to be held by an individual with a clear "Vision and goals for the Nation".
I am talking about someone who can turn around the direction with which we are going currently. Someone who can state clearly-his or her vision for the Nation for the next 20 or 30 years (legacy).

Our education system is equal to zero. Health Care System, political system, labour and Land laws, Corruption, unemployment is off the roof.
Therefore, if anybody want to run for office (Presidency) such a person must state "clearly" his vision and goal for TANZANIA, and how is he or she going to achieve those goals. Poverty must not be the basic credential.

Discuss.
 
Hii nchi hata hata juha anaweza kuwa rais

Mh. Mwigulu nchemba madelu, mbunge wa
iramba magharibi katika mwongozo alioomba
kwa spika wa bunge asubuhi hii amemlipua
kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
FREEMAN MBOWE kwamba ametumia madaraka
yake vibaya na kuharibu image na heshima ya
bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
kwa kukatisha ziara ya kikazi ya mbunge wa
viti maalumu chadema mkoa wa arusha joyce
mukya ambaye alisafiri kwa kazi za kibunge
kwenda Dominica Republic,lakini akiwa new
york, MUKYA alipokea simu ya MBOWE kuwa
akatize safari yake na kwenda Dubai aungane
naye kwa "kazi maalumu' .
MWIGULU ameomba mwongozo kuwa uongozi
wa bunge umchukulie hatua mh mbowe kama
mtu binafsi badala ya hivi sasa ambapo taasisi
nzima ya bunge inachorwa vibaya mbele za
jamii ambapo Habari zilizopo kwenye top page
za magazeti ya leo yamelichafua bunge zima
kumbe mhusika mkuu ni mbowe ambaye
ameelezwa kuwa alimwamuru joyce mukya
arudi kutoka safarini badala yake aende dubai
kwa kazi maalumu wakati tayari alishapokea
posho ya bunge kwa safari ya kikazi.
Aidha mwigulu ameomba mwongozo wa
kufanyika uchunguzi wa mahesabu kuhusu
posho zilizotolewa na bunge/serikali halafu
mhusika hakwenda kwenye safari
iliyokusudiwa.badala yake mbunge ameenda
kuvinjari na hawara
 
mwigulu nchemba!? huyu huyu? kha?

Mwigulu Nchemba ametolea ufafanuzi wa Ujenzi wa Kituo cha kisasa cha afya kata ya Shelui wakati huo huo Mbunge huyo ametoa Gari la AMBULANCE kwaajili ya matumizi ya wananchi wa kata ya Shelui.Kabla ya kutoa taarifa ya kuwapatia gari ya Ambulance kwaajili ya wagonjwa,Mbunge huyo amechangia mifuko 30 kwaajili ya ujenzi wa kituo cha afya.
 
Hivi Baado Tanzania hii Kuna Ndoto za Mchana?

Kama za hawa wanaobeza mafanikio ya Mwigulu na haja ya watanzania walio wengi wakitaka awe rais wao wa Tz 2015?
Mwigulu kwake Mabadiliko ni Vitendo
 
Ndio tunamwamini na wewe endelea kuwa mfuasi wa mafisadi ila 2015 segerea inawasubiri mafisadi wote.Mwigulu lazima awashughulikie maana mmetafuna nchi vya kutosha

Kama ku-deal na mafisadi ndo sera zake akiwa CCM then mwambie ameshindwa vita kabla hata haijaanza.

Nani atampitisha ilhali CCM wote mnatuhumiwa kwa ufisadi? Humuoni hata chairman wenu anavyowakenulia?

Kama ana dhamira ya dhati mwambie aanzishe chama chake.
 
We don't vote for or elect a president because he or she is poor or has a poverty background in his or her CV. The presidency is the highest post in the Nation that needs to be held by an individual with a clear "Vision and goals for the Nation".
I am talking about someone who can turn around the direction with which we are going currently. Someone who can state clearly-his or her vision for the Nation for the next 20 or 30 years (legacy).

Our education system is equal to zero. Health Care System, political system, labour and Land laws, Corruption, unemployment is off the roof.
Therefore, if anybody want to run for office (Presidency) such a person must state "clearly" his vision and goal for TANZANIA, and how is he or she going to achieve those goals. Poverty must not be the basic credential.

Discuss.

Mwigulu is the chosen one
 
Back
Top Bottom