Nani anafaa kuwa nahodha mpya Simba Sports Club?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
25,012
Reaction score
56,294
Kufuatia kuondoka kwa Mohamed Hussein Tshabalala pale Simba nafasi ya captain imebaki wazi.

Taja jina la mchezaji anayefaa kuwa nahodha mpya wa Simba
IMG_7748.jpeg
 
Nadhani nahodha hapewi kwa sababu ya ukongwe ktk klabu bali mwenye haiba ya uongozi,kapombe naona kapendekezwa na wengi lakini sioni kama anayo talanta ya uongozi nampendekeza kibu denis prosper kuwa nahodha mkuu akisaidiwa na kagoma. Hawa watawafaa sana makolo.
 
Simba haipendi kujifunza mpaka inakuwa imechelewa. Ni bora captain asiwe beki maana inakuwa vigumu kumzonga refa wakati mpira unaendelea pale anapotoa maamuzi yasiyoridhisha.

Pia ni bora tuige wenzetu, captain awe ni mchezaji bora au mwenye thamani zaidi kwenye timu. Yaani anatakiwa awe ni ile robo ya timu uwanjani.

Pia ni vizuri captain awe ana uwezo wa kuzungumza lugha mojawapo ya kimataifa kwa ufasaha ili awe msaada mkubwa katika mashindano ya kimataifa ambayo ndiyo yana changamoto sana za kimaamuzi.

Kwa sasa kuna changamoto ya kiuongozi kwa wachezaji baada ya kuondoka kwa pamoja waliokuwa wanapokezana majukumu ya ucaptain Zimbwe, Malone, Ngoma na Manula.

Dalili zote zinaonyesha atapewa Kapombe maana ndiye senior player aliyebaki na captain msaidizi anaweza kuwa Mpanzu. Wanaweza pia kumpa Kibu kama msaidizi kwa sababu ya uwezo wa kuzungumza lugha mbalimbali ingawa naona hastahili. Upambanaji wake umepungua sana na sidhani kama moyo wake upo sana pale Simba kwa sasa.
 
Makepteni wengi bora ni mabeki hasa wale mabeki wa kati

Kuanzia Maldini, John Terry, Puyol, Sergio Ramos, Nemanja Vidic, Vincent Kompany, Lucas Radebe, Thiago Silva nk
 
Naelewa kuwa wamekuwepo mabeki ambao walikuwa macaptain ila hao hawajacheza na waarabu kipindi hiki cha V.A.R tena kwa marefa hawa wa CAF.

Pia, kwa kila beki aliyekuwa captain, utakutana na viungo au washambuliaji 3 waliokuwa macaptain.

Ninachoona Simba ya sasa haina mchezaji ambaye anaweza kuwaamsha wenzake na kuwapa hamasa kabla au wakati wa mchezo. Karibia wote ni wakimya na wapolewapole sana ndani na nje ya uwanja kuanzia Hamza, Kagoma, Kibu, Kapombe. Ukiangalia, hata Zimbwe alikuwa hivyo hivyo tu.
 
Back
Top Bottom