Nani anafaa kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020 kwenye kinyang'anyiro cha Urais?

Freeman Mbowe hana sifa ya kuwa mgombea wa kiti cha urais kwani katiba ya nchi inataka mgombea wa urais awe mhitimu wa angalao degree ya kwanza (Bachelor degree) kutoka chuo kikuu kinachotambuliwa na tume ya ithibati ya taifa. Kwa nafasi ya ubunge hapo ana qualify kwani katiba inataka mgombea ubunge awe tu na elimu ya KK (kusoma na kuandika). Kwa kiti cha udiwani ni raia ye yote yule hata kama hana KK.
Si kweli!

Sifa ya Shahada kwa Mgombea Urais ni Kanuni ya Chama cha Mapinduzi sio Katiba ya Jamhuri
 
Chadema ina watu wengi Makini.

Sumaye ni Bora zaidi
Nyarandu
Heche
Makongoro Mahanga.
Meya Kalisti.
Lisu.
Juma Mwalimu.
Prof. Safari
Nyarandu.

Hata watakao toka CCM kwa imani ya kujenga Demokrasia watafaa mana ni watanzania wenzetu.

Vyama vyote ni sawa Hata Zito Kabwe akirudi Chadema itapendeza zaidi.

Ila cha msingi kabisa ni Katiba ya Warioba ije kabla ya huo uchaguzi.
Ili tuwe na uchaguzi wa kupiga kura kwa wagombea wa uongozi sio vita ya madaraka!

Bila Katiba ya warioba uchaguzi wa 2020 itakua ni vita ya madaraka sio uchaguzi.
Mana wenye madaraka hawataki kusikia suala la kushindwa kwenye majimbo.

Sijui woga ni wa nini wakati hata ikija tume huru bado rais aliyepo atashinda japo hata kama ni kwa kura chache lakini atashinda kwa hali ya upinzani ilivyo na imani kubwa ya wananchi kwake.

Kwa hiyo ni bora pawe na tume huru ili uchaguzi ufanyike kwa haki na huru na wenye ushawishi na sera nzuri wanyakue viti vingi vya ubunge na udiwani.

Ingekua ni bora kabisa Wapinzani wakamsimaisha mgombea mmoja kwa ajili ya kupata viti vingi vya udiwani na ubunge.
Suala la kushinda urais halina tija sana.
Tukiwa na katiba ya Warioba suala la urais sio la muhimu sana kwa wapinzani na watanzania bali suala la muhimu ni utawala bora wenye kuwapa wananchi nguvu ya kushiriki katika ujenzi wa maisha yao na taifa kwa ujumla wakati huo huo haki za kila mtu zikilindwa kikatiba.

Wapizani Suala la Urais lisiwape kiwewe.
Tunaye Rais wa Awamu ya Tano.
Na awamu ya Tano inaishia 2025. Tusipoteze muda kuwaza urais wa 2020.
Wakati huo anaweza akawekwa hata Prof. Safari. Akaleta ushindani lakini kwa lengo la kukamata halmashauri Nyingi zaidi na kuwa na mameya wengi zaidi wa ulinzani.
Ikiwezekana miji yote ichukuliwe na mameya wa upinzani.

Mbowe angalia mbali zaidi ushindi ikulu sio mahali pa kukimbilia bila mipango ya kidola.
CCM ina wazee wengi ndani ya vyombo vyote na mihimili yote.
Subiri wapungue kiasili mpaka watajikuta wamebaki vijana wasioijua CCM. Hapo Ikulu itakua inamkaribisha yeyeyote.

2020 wapinzani Anzieni chini kushika madaraka kuanzia kwenye mitaa.
Mizizi ikikatwa mti hunyauka wenyewe kuliko kukata matawi.
 
Lissu Alikuwa na Sifa na Uwezo wa kugombea
 
Wale waliomfanyia MAZISHI YA HESHIMA BOBI aka MH.MBWA, mmoja wao anafaa kupeperusha bendera !!!
 
Back
Top Bottom