vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,384
- 2,530
Leo imefanyijka press kuelekea mechi ya Yanga vs Mamelod wikiendi ijayo, lakini kitu ambacho kimenipa ukakasi ni taarifa juu ya hali ya majeruhi hasa kwa Pacome. Ally Kamwe anasema, "Kuhusu Pacome tunasubiri majibu zaidi ya kambi ya timu yake ya taifa".
Hivi mchezaji ni mali klabu au taifa lake? Sio Yanga ndio waliopaswa kutoa majibu ya viipimo kujua kama ni ruksa kwenda kuchezea timu ya taifa au auguzwe?
Timu za taifa haziiti majeruhi wala wakuangaliwa bali ni wanaitwa wachezaji waliofit tu ili wakacheze mechi. Sasa kwanini apelekwe mchezaji asiyeeleweka afya yake?