Nani ana maskio makubwa?

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Wanyama wote siku moja walikuwa darasani wanasoma,Mwalimu akawauliza swali, je ni mnyama gani ana maskio makubwa? simba akamgeukia punda kwa dharau na kuanza kumcheka sana huku akijibu haraka na kwa furaha,"Punda" wanyama wote walicheka kwa kejeli! Mwalimu akaendelea! Je ni mnyama gani ana maumbile makubwa ya "mashine" yani uume? wote kimyaa,Punda akamgeukia simba kwa hamaki na kumwambi,"Jibu na swali hilo sasa"! Simba kimyaaa!
 
aseeeee....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom