Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Status
Not open for further replies.
Natamani hii thead iwepo humu hata baada ya miaka miwili.
hapo tutajua kama ni bilionea au mashauzi tuu.
Nina uhakika baada ya miaka miwili huyo dogo atakuwa kama Mr.Nice.
 
kwa idadi ya vi binti vya form two vinavyokimbilia kununua cd zake, anaweza kabisa kuwa milionea.
tuna shule ngapi za kata? zaweza kufika 500 kwa uchache.
at least kila shule ina wadada 40 wa form two ambao wananunua cd moja moja ya huyo jamaa. halafu pia kuna ma sista du wanaohongwa na mibaba mjini nao pia ni wateja wazuri wa hizo nyimbo.
kama cd moja ni 3000/- tuseme, basi ni milionea kwani katoa albam ngapi hadi sasa?



hakuna kijana au biti atakaye kwenda kununua cd za mziki za huyo kijana kwahela yakd labda apewe bure.
 
Kuna mwenye data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire




Ukiwa na bilioni moja benki, ukaamua kila siku kula sh laki moja, itakuchukua miaka kumi

kumaliza! Sasa hebu waza na ufikiri tena! Huyo bwana kwa kuimba tatizo kwetu mbagala ndo

anakuwa bilionea?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom