Nani ana data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire

Status
Not open for further replies.
bilionea anakata kiuno ? Muulize Michael Ngeluke Shirima akuambie bilionea ni nini

acha dharau ya kazi za watu! husikilizi mziki ama kuangalia television - ndio burudani hizo. Mziki ni kazi kama zingine. FdQ - we unaishi wapi? Gheto. Kazi yako? Mziki.Respect.
 
The young man is doing alright. He cames from modest family background. He managed to make his own name and is sustaining it for a little while. He is building up his economic life by doing clothing business. Lets give respect when is due, the rest let them be concerns which aim to benefit him.
 
Ndugu yangu uko taasisi ya THT!!??
Ebu tueleze bank statement ya huyo kijana na pale Dar es slaam stock exchange ana hisa ngapi? hivyo vitu ulivyoorodhesha hapo unaonesha upeo wako una walakini.
Mkuu povu lote la nini hasa? mtoa mada kaomba kujua mwenye data za "ubilionea" wa Diamond, nilichofanya ni kummegea data za vyanzo vyake vya mapato na mali anazo miliki kwa kadri ya ufahamu wangu kama wewe ulivyo weka mjengo na thamani ya hekelu la Mwanvita ili apate pica huo "umilionea" utakuja vipi
Sasa walakini wangu uko wapo? mara sijui hisa DSE, mara bank statement, mara uko THT, kwani wewe upo Voda au CCM kutuwekea wajihi wa Mwanvita?
 
Billionaire! Tafuta 20 richest people worldwide! Wanamiliki mavtu ya maana! Ma megayards, aircraft, majumba yanarembwa kwa diamond n golds! Jamani 2funguke akili! Bilionaire sio mchezo. Diamond ataota 2. Kwa Tz 2 he z nothn bado aongeze juhudi na afanye v2 vya maana na sio starehe na sifa za kijnga!
 
Billionaire atapenda ma-Tapwata kama Wema? thats Jokes!!!!!!!! eti bado amepanga na anakadrive ka OPPA<wai?
 
kwa idadi ya vi binti vya form two vinavyokimbilia kununua cd zake, anaweza kabisa kuwa milionea.
tuna shule ngapi za kata? zaweza kufika 500 kwa uchache.
at least kila shule ina wadada 40 wa form two ambao wananunua cd moja moja ya huyo jamaa. halafu pia kuna ma sista du wanaohongwa na mibaba mjini nao pia ni wateja wazuri wa hizo nyimbo.
kama cd moja ni 3000/- tuseme, basi ni milionea kwani katoa albam ngapi hadi sasa?
 
Mkuu povu lote la nini hasa? mtoa mada kaomba kujua mwenye data za "ubilionea" wa Diamond, nilichofanya ni kummegea data za vyanzo vyake vya mapato na mali anazo miliki kwa kadri ya ufahamu wangu kama wewe ulivyo weka mjengo na thamani ya hekelu la Mwanvita ili apate pica huo "umilionea" utakuja vipi
Sasa walakini wangu uko wapo? mara sijui hisa DSE, mara bank statement, mara uko THT, kwani wewe upo Voda au CCM kutuwekea wajihi wa Mwanvita?
Ulitakiwa useme Diamond sio Billionea na hata si Millioneoa na wala hana hata harufu ya kuitwa tajiri, bali ni sharo uharo.
 
kwa idadi ya vi binti vya form two vinavyokimbilia kununua cd zake, anaweza kabisa kuwa milionea.
tuna shule ngapi za kata? zaweza kufika 500 kwa uchache.
at least kila shule ina wadada 40 wa form two ambao wananunua cd moja moja ya huyo jamaa. halafu pia kuna ma sista du wanaohongwa na mibaba mjini nao pia ni wateja wazuri wa hizo nyimbo.
kama cd moja ni 3000/- tuseme, basi ni milionea kwani katoa albam ngapi hadi sasa?

HADITHI YA ABUNUASI HIO.......Kinacholipa siku hizi ni shoo wanazopiga na Diamond anazunguka si mchezo..... Hamna anaenunua CD siku hizi mchina kaharibu mambo.....

bilionea anakata kiuno ? Muulize Michael Ngeluke Shirima akuambie bilionea ni nini
Hapa umechemka mkuu,kweli hata mm siamin kama bilionea ila wapo mabilionea wanaokata viuno duniani marehemu michael jackson,kina chris brown etc wanamuzik mabilionea na wanakata viuno do u think kina fal pupa sio mabilionea?
 
The young man is doing alright. He cames from modest family background. He managed to make his own name and is sustaining it for a little while. He is building up his economic life by doing clothing business. Lets give respect when is due, the rest let them be concerns which aim to benefit him.
Ugeni wa mji unanisumbua !! Kama sijaelewa hivi??
 
kwa idadi ya vi binti vya form two vinavyokimbilia kununua cd zake, anaweza kabisa kuwa milionea.
tuna shule ngapi za kata? zaweza kufika 500 kwa uchache.
at least kila shule ina wadada 40 wa form two ambao wananunua cd moja moja ya huyo jamaa. halafu pia kuna ma sista du wanaohongwa na mibaba mjini nao pia ni wateja wazuri wa hizo nyimbo.
kama cd moja ni 3000/- tuseme, basi ni milionea kwani katoa albam ngapi hadi sasa?

eebwanaee !!
 
Hii ni nyumba ya mwamvita makamba amenunuwa kwa cash money kwa zaidi ya $ 950,000/= hii ni zaidi ya shilling Bilioni moja za Kitanzania, na bado huyu hayumo kwenye orodha ya Matajili wa Bongo halafu ndio mnatuletea upuuzi wa huyu sharo uharo?
HaX44.jpg

acha wewe... kanunua kwa nani?? hii nyumba ni ya Mzee Makamba alichukua zile za Serikali kampa binti yake ndio ka renovate.... ipo hapo Mikocheni njia ya HK Hospital... wajinga ndio waliwao
 
Hapa umechemka mkuu,kweli hata mm siamin kama bilionea ila wapo mabilionea wanaokata viuno duniani marehemu michael jackson,kina chris brown etc wanamuzik mabilionea na wanakata viuno do u think kina fal pupa sio mabilionea?
Ndio Fally Ipupa sio Billionea na wala sio Millionea.

Filters
Filter by industry Filter by country Filter by U.S. state
Other Lists

Browse The List
Net Worth Calculated March 2011
Rank Name Net Worth Age Source Country of Citizenship
1
carlos-slim-helu_50x50.jpg
[h=3]Carlos Slim Helu & family[/h]
$74 B72telecomMexico
2
bill-gates_50x50.jpg
[h=3]Bill Gates[/h]
$56 B56MicrosoftUnited States
3
warren-buffett_50x50.jpg
[h=3]Warren Buffett[/h]
$50 B81Berkshire HathawayUnited States
4
bernard-arnault_50x50.jpg
[h=3]Bernard Arnault[/h]
$41 B62LVMHFrance
5
larry-ellison_50x50.jpg
[h=3]Larry Ellison[/h]
$39.5 B67OracleUnited States
6
lakshmi-mittal_50x50.jpg
[h=3]Lakshmi Mittal[/h]
$31.1 B61SteelIndia
7
amancio-ortega_50x50.jpg
[h=3]Amancio Ortega[/h]
$31 B75ZaraSpain
8
eike-batista_50x50.jpg
[h=3]Eike Batista[/h]
$30 B55mining, oilBrazil
9
mukesh-ambani_50x50.jpg
[h=3]Mukesh Ambani[/h]
$27 B54petrochemicals, oil & gasIndia
10
christy-walton_50x50.jpg
[h=3]Christy Walton & family[/h]
$26.5 B57WalmartUnited States
11
ka-shing-li_50x50.jpg
[h=3]Li Ka-shing[/h]
$26 B83DiversifiedHong Kong
12
no-pic_50x50.jpg
[h=3]Karl Albrecht[/h]
$25.5 B91AldiGermany
13
stefan-persson_50x50.jpg
[h=3]Stefan Persson[/h]
$24.5 B64H&MSweden
14
vladimir-lisin_50x50.jpg
[h=3]Vladimir Lisin[/h]
$24 B55SteelRussia
15
liliane-bettencourt_50x50.jpg
[h=3]Liliane Bettencourt[/h]
$23.5 B89L'OrealFrance
16
sheldon-adelson_50x50.jpg
[h=3]Sheldon Adelson[/h]
$23.3 B78casinosUnited States
17
david-thomson_50x50.jpg
[h=3]David Thomson & family[/h]
$23 B54mediaCanada
18
charles-koch_50x50.jpg
[h=3]Charles Koch[/h]
$22 B76DiversifiedUnited States
18
david-koch_50x50.jpg
[h=3]David Koch[/h]
$22 B71DiversifiedUnited States
20
jim-walton_50x50.jpg
[h=3]Jim Walton[/h]
$21.3 B64WalmartUnited States
21
alice-walton_50x50.jpg
[h=3]Alice Walton[/h]
$21.2 B62WalmartUnited States
22
s-robson-walton_50x50.jpg
[h=3]S. Robson Walton[/h]
$21 B68WalmartUnited States
23
thomas-raymond-kwok_50x50.jpg
[h=3]Thomas & Raymond Kwok & family[/h]
$20 B N/Areal estateHong Kong
24
larry-page_50x50.jpg
[h=3]Larry Page[/h]
$19.8 B38GoogleUnited States
24
sergey-brin_50x50.jpg
[h=3]Sergey Brin[/h]
$19.8 B38GoogleUnited States
26
prince-alwaleed-bin-talal-alsaud_50x50.jpg
[h=3]Prince Alwaleed Bin Talal Alsaud[/h]
$19.6 B56InvestmentsSaudi Arabia
27
no-pic_50x50.jpg
[h=3]Iris Fontbona & family[/h]
$19.2 B N/AMiningChile
28
shau-kee-lee_50x50.jpg
[h=3]Lee Shau Kee[/h]
$19 B84real estateHong Kong
29
alexei-mordashov_50x50.jpg
[h=3]Alexei Mordashov[/h]
$18.5 B46SteelRussia
30
michael-bloomberg_50x50.jpg
[h=3]Michael Bloomberg[/h]
$18.1 B69BloombergUnited States
30
jeff-bezos_50x50.jpg
[h=3]Jeff Bezos[/h]
$18.1 B48AmazonUnited States
32
michele-ferrero_50x50.jpg
[h=3]Michele Ferrero & family[/h]
$18 B85chocolatesItaly
32
mikhail-prokhorov_50x50.jpg
[h=3]Mikhail Prokhorov[/h]
$18 B46InvestmentsRussia
34
vladimir-potanin_50x50.jpg
[h=3]Vladimir Potanin[/h]
$17.8 B51nonferrous metalsRussia
35
alisher-usmanov_50x50.jpg
[h=3]Alisher Usmanov[/h]
$17.7 B58steel, telecom, stocksRussia
36
azim-premji_50x50.jpg
[h=3]Azim Premji[/h]
$16.8 B66SoftwareIndia
36
oleg-deripaska_50x50.jpg
[h=3]Oleg Deripaska[/h]
$16.8 B44aluminumRussia
38
michael-otto_50x50.jpg
[h=3]Michael Otto & family[/h]
$16.6 B68RetailGermany
39
no-pic_50x50.jpg
[h=3]German Larrea Mota Velasco & family[/h]
$16 B58MiningMexico
39
rinat-akhmetov_50x50.jpg
[h=3]Rinat Akhmetov[/h]
$16 B45steel, coal minesUkraine
39
john-paulson_50x50.jpg
[h=3]John Paulson[/h]
$16 B56hedge fundsUnited States
42
shashi-ravi-ruia_50x50.jpg
[h=3]Shashi & Ravi Ruia[/h]
$15.8 B68DiversifiedIndia
43
mikhail-fridman_50x50.jpg
[h=3]Mikhail Fridman[/h]
$15.1 B47oil, banking, telecomRussia
44
michael-dell_50x50.jpg
[h=3]Michael Dell[/h]
$14.6 B46DellUnited States
44
susanne-klatten_50x50.jpg
[h=3]Susanne Klatten[/h]
$14.6 B49BMW, pharmaceuticalsGermany
46
steve-ballmer_50x50.jpg
[h=3]Steve Ballmer[/h]
$14.5 B55MicrosoftUnited States
46
george-soros_50x50.jpg
[h=3]George Soros[/h]
$14.5 B81hedge fundsUnited States
48
no-pic_50x50.jpg
[h=3]Berthold & Theo Jr. Albrecht & family[/h]
$14.4 B N/AAldi, Trader JoesGermany
49
birgit-rausing_50x50.jpg
[h=3]Birgit Rausing & family[/h]
$14 B88packagingSweden
50
vagit-alekperov_50x50.jpg
[h=3]Vagit Alekperov[/h]
$13.9 B61LukoilRussia
51
aliko-dangote_50x50.jpg
[h=3]Aliko Dangote[/h]
$13.8 B54sugar, flour, cement Nigeria
52
mark-zuckerberg_50x50.jpg
[h=3]Mark Zuckerberg[/h]
$13.5 B27FacebookUnited States
53
anne-cox-chambers_50x50.jpg
[h=3]Anne Cox Chambers[/h]
$13.4 B92Cox EnterprisesUnited States
53
roman-abramovich_50x50.jpg
[h=3]Roman Abramovich[/h]
$13.4 B45steel, investmentsRussia
55
jorge-paulo-lemann_50x50.jpg
[h=3]Jorge Paulo Lemann[/h]
$13.3 B72beerBrazil
56
savitri-jindal_50x50.jpg
[h=3]Savitri Jindal & family[/h]
$13.2 B61SteelIndia
57
gerald-cavendish-grosvenor_50x50.jpg
[h=3]Gerald Cavendish Grosvenor & family[/h]
$13 B60real estateUnited Kingdom
57
paul-allen_50x50.jpg
[h=3]Paul Allen[/h]
$13 B59Microsoft, investmentsUnited States
57
viktor-vekselberg_50x50.jpg
[h=3]Viktor Vekselberg[/h]
$13 B54oil, metalsRussia
60
phil-knight_50x50.jpg
[h=3]Phil Knight[/h]
$12.7 B73NikeUnited States
61
robert-kuok_50x50.jpg
[h=3]Robert Kuok[/h]
$12.5 B88DiversifiedMalaysia
61
carl-icahn_50x50.jpg
[h=3]Carl Icahn[/h]
$12.5 B75leveraged buyoutsUnited States
63
mohammed-al-amoudi_50x50.jpg
[h=3]Mohammed Al Amoudi[/h]
$12.3 B67oilSaudi Arabia
64
donald-bren_50x50.jpg
[h=3]Donald Bren[/h]
$12 B79real estateUnited States
64
no-pic_50x50.jpg
[h=3]Ronald Perelman[/h]
$12 B69leveraged buyoutsUnited States
66
alberto-bailleres-gonzalez_50x50.jpg
[h=3]Alberto Bailleres Gonzalez & family[/h]
$11.9 B80MiningMexico
67
francois-pinault_50x50.jpg
[h=3]Francois Pinault & family[/h]
$11.5 B75RetailFrance
68
joseph-safra_50x50.jpg
[h=3]Joseph Safra[/h]
$11.4 B73bankingBrazil
69
abigail-johnson_50x50.jpg
[h=3]Abigail Johnson[/h]
$11.3 B50FidelityUnited States
70
viktor-rashnikov_50x50.jpg
[h=3]Viktor Rashnikov[/h]
$11.2 B63SteelRussia
71
leonardo-del-vecchio_50x50.jpg
[h=3]Leonardo Del Vecchio[/h]
$11 B76eyewearItaly
72
john-fredriksen_50x50.jpg
[h=3]John Fredriksen[/h]
$10.7 B67shippingCyprus
72
stefan-quandt_50x50.jpg
[h=3]Stefan Quandt[/h]
$10.7 B45BMWGermany
74
james-simons_50x50.jpg
[h=3]James Simons[/h]
$10.6 B73hedge fundsUnited States
75
luis-carlos-sarmiento_50x50.jpg
[h=3]Luis Carlos Sarmiento[/h]
$10.5 B79bankingColombia
75
horst-paulmann_50x50.jpg
[h=3]Horst Paulmann & family[/h]
$10.5 B77RetailChile
77
no-pic_50x50.jpg
[h=3]Eliodoro, Bernardo & Patricia Matte[/h]
$10.4 B N/Apaper Chile
77
nasser-al-kharafi_50x50.jpg
[h=3]Nasser Al-Kharafi & family[/h]
$10.4 B68constructionKuwait
79
sammy-ofer_50x50.jpg
[h=3]Sammy Ofer & family[/h]
$10.3 B90shippingIsrael
80
len-blavatnik_50x50.jpg
[h=3]Len Blavatnik[/h]
$10.1 B54Access IndustriesUnited States
81
hans-rausing_50x50.jpg
[h=3]Hans Rausing[/h]
$10 B85packagingSweden
81
ernesto-bertarelli_50x50.jpg
[h=3]Ernesto Bertarelli & family[/h]
$10 B46biotechSwitzerland
81
no-pic_50x50.jpg
[h=3]John Mars[/h]
$10 B75candy, pet foodUnited States
81
jacqueline-mars_50x50.jpg
[h=3]Jacqueline Mars[/h]
$10 B72candy, pet foodUnited States
81
forrest-mars_50x50.jpg
[h=3]Forrest Mars[/h]
$10 B80candy, pet foodUnited States
81
klaus-michael-kuhne_50x50.jpg
[h=3]Klaus-Michael Kuhne[/h]
$10 B74shippingGermany
81
gautam-adani_50x50.jpg
[h=3]Gautam Adani[/h]
$10 B49commodities, infrastructureIndia
88
iskander-makhmudov_50x50.jpg
[h=3]Iskander Makhmudov[/h]
$9.9 B48mining, metals, machineryRussia
89
johanna-quandt_50x50.jpg
[h=3]Johanna Quandt[/h]
$9.8 B85BMWGermany
89
george-kaiser_50x50.jpg
[h=3]George Kaiser[/h]
$9.8 B69oil & gas, bankingUnited States
89
maria-elisabeth-georg-schaeffler_50x50.jpg
[h=3]Maria-Elisabeth & Georg Schaeffler[/h]
$9.8 B N/Aball bearingsGermany
92
german-khan_50x50.jpg
[h=3]German Khan[/h]
$9.6 B50oil, banking, telecomRussia
93
ananda-krishnan_50x50.jpg
[h=3]Ananda Krishnan[/h]
$9.5 B73telecomMalaysia
93
dmitry-rybolovlev_50x50.jpg
[h=3]Dmitry Rybolovlev[/h]
$9.5 B45fertilizerRussia
95
robin-li_50x50.jpg
[h=3]Robin Li[/h]
$9.4 B43InternetChina
96
serge-dassault_50x50.jpg
[h=3]Serge Dassault & family[/h]
$9.3 B86aviationFrance
97
kumar-birla_50x50.jpg
[h=3]Kumar Birla[/h]
$9.2 B44commoditiesIndia
97
petr-kellner_50x50.jpg
[h=3]Petr Kellner[/h]
$9.2 B47insuranceCzech Republic
99
leonid-mikhelson_50x50.jpg
[h=3]Leonid Mikhelson[/h]
$9.1 B56Natural gasRussia
100
yu-tung-cheng_50x50.jpg
 
Hii ni nyumba ya mwamvita makamba amenunuwa kwa cash money kwa zaidi ya $ 950,000/= hii ni zaidi ya shilling Bilioni moja za Kitanzania, na bado huyu hayumo kwenye orodha ya Matajili wa Bongo halafu ndio mnatuletea upuuzi wa huyu sharo uharo?
HaX44.jpg

mjengo umetulia lakini
 
Kumbe wewe mwenyewe hujui? Sasa unaleta hapa huu ujinga wa nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom