Nani amewahi kuona dodoso la NBS?

Nani amewahi kuona dodoso la NBS?

umeisoma final offer ya Barick? kwenye ile document kuna appendix 4 ambayo inaelezea draft ya makubaliano kati ya GoT na Barick (ambayo serikali iliyafanya siri), nenda kasome vizuri kisha uone kama 'ushindi' wowote!
sio kwamba nabeza jitihada za serikali, kwenye hili la madini naamini hata ukiwauliza watanzania wengi wanaiunga mkono serikali 100%, nachopinga ni tabia ya kuwalaghai wananchi na mafanikio yasiyo na uhalisia.
Nakuwekea hii


163813D3-9DB4-4918-9D80-F615829296CF.jpeg
 
Kwani dodoso la World Bank umeliona wapi?

Nadhani kuna njia wanazotumia kupata takwimu nje ya dodoso. Kama mapato jumla ya mauzo nje, Jumla uwekezaji wa ndani n.k
Je hao world Bank, wanaposema uchumi wetu unakuwa vizuri sana kwa kiwango cha kushangaza, na pato la mwananchi linaongezeka huwa wanakuja field? Acheni siasa kwenyr uchumi, miaka yote ndio mfumo unaotumika ila leo kwenye awamu ya wapika data ndio hawafai?!!!
 
Basi Tufanye uchumi umekuwa kwa asilimia 10% hapo vepe!

Ova
 
Madodoso yapo tuombe watu wa NBS watusaidie kuelimisha. Kuna producer price index linalotumika kukusanya data za uzalishaji viwandani, household budget survey kuangalia matumizi katika ngazi ya kaya, sensa, utafiti wa kilimo, utawala nk
Vitu vingne vinahitaji common sense tu hata km akili yako kibogoyo.Kwa hyo ulitaka NBS (sirikali) waseme uchumi umeshuka?Hv unajua Dr Mwele alifanywa nn baada ya kusema kweli?So far huwez kunielewa kwa kua ni mpiga makofi tu
 
Kwa umri wangu mkubwa ni Mara yangu ya kwanza kuona tofauti za aina hii. Huko nyuma niliwahi kutofautiana na IMF lakini ni kwenye masharti ya kurekebisha uchumi ili kukopesheka; siyo kiwango cha ukuaji uchumi!
 
hili ni tatizo alilolitengeneza magufuli, anapenda sifa na mafanikio makubwa yasio na uhalisia, waliomzunguka wote wanalijua hilo na hivyo basi wameamua kuweka taaluma zao pembeni na kumpa anachotaka, uwongo unaopendeza na kufurahisha, kule kiwango cha ufaulu kinapanda, huku uchumi unakua kwa 7%, mara TIB na TTCL wanatoa gawio (kisha nyuma ya pazia wanalialia ukata), hajakaa sawa ATCL inaingiza faida!
they are treating him like a child, as if the truth is too much for him.
Daaaaah! Nimefuta sana lakini...
 
appendix 4 ambayo inaelezea draft ya makubaliano kati ya GoT na Barick (ambayo serikali iliyafanya siri), nenda kasome vizuri kisha uone kama kuna 'ushindi' wowote!
Empty politics. Pengine hujui technical language inayotumika kwenye mining industry/business economics. The document is quite elaborate. Ninaamini unachanganywa na 50%/50% share of economic benefits principle kwa maana ulidhani, kama waswahili wengine, kuwa hyo ni pesa taslimu. Kwa waelewa, hiyo haikuwahi kuwa malipo taslimu hata kidogo.
 
swala sio kuwa negative au positive bali ni ukweli na uhalisia. hauwezi kutatua tatizo kama hauamini kuwa kuna tatizo!

Ebu tueleze mwezetu tufanyeje inaonyesha mwezetu unaona tatizo natuko nyumba moja , watoto wataifa moja ebu twambie kidogo tuseje kufa njaa, jaribu kutupa machache,inawezekana tunajadiliana kishabiki kama Simba na Yanga, wote nchi yetu tujadili bila kutegemea watu kutoka nje ya nyumba yetu Tanzania. Hatuna Mjomba nje
 
Back
Top Bottom