aseee... niliandikiwaga na manzi flani mixer mauwa n.k n.k ubaya nilikuwa bado sijielewi hata sikumjibu kitu penzi liliishia kihayawani,uzuri nilikuwa nimebakiza 2 days kusepa eneo hilo nachokumbuka juu ilikuwa imeandikwa "Mwaaaaaaaaaa" mengine chili yangu
Mwaka 1976 ILEKANILO P/s
ilikamatwa barua nikiwa nimetumiwa na mtoto wa kike
bahati mbaya akaisahau kwenye daftari mwalimu wakati wa kusahihisha akaiona
duh kesho yake tukapelekwa staff tulichezea fimbo kama vibaka vile