Nani amewahi kuandika barua ya mapenzi

Nani amewahi kuandika barua ya mapenzi

Aruba

Member
Joined
Nov 1, 2017
Posts
5
Reaction score
2
c3440b18efb2e9b07faf969493c76f4f.jpg
 
Hizi mambo za barua mmh nilichezeaga kichapo siku moja kama paka mwizi....
 
aseee... niliandikiwaga na manzi flani mixer mauwa n.k n.k ubaya nilikuwa bado sijielewi hata sikumjibu kitu penzi liliishia kihayawani,uzuri nilikuwa nimebakiza 2 days kusepa eneo hilo nachokumbuka juu ilikuwa imeandikwa "Mwaaaaaaaaaa" mengine chili yangu😀
 
Mwaka 1976 ILEKANILO P/s
ilikamatwa barua nikiwa nimetumiwa na mtoto wa kike
bahati mbaya akaisahau kwenye daftari mwalimu wakati wa kusahihisha akaiona
duh kesho yake tukapelekwa staff tulichezea fimbo kama vibaka vile
 
Ilikuwa mwaka 2010 nilipokuwa napekuwa makabrasha yangu,
Madaftari yangu ya s/m, sekondari, nilikuta barua 105 nilizoandikiwa toka s/m hadi sekondari. NILICHEKA SAAANA.
 
Back
Top Bottom