Mchakato upi TUMAINEL, Si wameshasema litachapishwa Jina moja tu???Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjuwa na ndie Rais wa sasa wanao sema maneno hayo ni viongozi wakisiasa na serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.
Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho nakutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjuwi mchakato.... Haya ndie ajaye.
Thread za namna hii Huwa zinakuvuruga sana chawa wewe!Kuna watu mnajifanya ndio mnapanga safi za Viongozi wa Nchi hii na mnaratibu genge lenu kutisha viongozi..
Kwanza sina sifa za kuteuliwa maana mimi sitegemei vyeti na madarasa ku earn life so sipendi mje kuleta mataahira wengine watuvurugie biashara..Thread za namna hii Huwa zinakuvuruga sana chawa wewe!!!!
Maana zinasababisha ukose kufanya calculations zako kupata uteuzi MBELENI.
Anyway Nchi hii haitakuwa kamwe mikononi mwa kundi dogo.
Bado Pana wahuni Kwa Chama chako, tena viongozi!?kuna wahuni ndani ya Chama changu wanatengeneza hofu isiyokuwepo halafu wanajipa jukumu la kupambana dhidi ya kivuli feki ili kumhadaa Boss kuwa wanampigania dhidi ya adui wa kutengeneza ili Bosi aamini hawa vijana 'wananikubali kichizi '
i
MACHAWA wa NCHI HII WAMETUAMBIAIgwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjuwa na ndie Rais wa sasa wanao sema maneno hayo ni viongozi wakisiasa na serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.
Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho nakutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjuwi mchakato.... Haya ndie ajaye.
Nani kasema na kwa kikao gani kimekuja na jina? Well haya tujifurahisheMchakato upi TUMAINEL, Si wameshasema litachapishwa Jina moja tu???
Kwa hiyo mnataka iwe zamu yenu kula au?Sie tunawachora tu washenzi wamekula wakavimbirwa
Duh, me nlijua mkt na no 1. Ndo top!!!!Nani kasema na kwa kikao gani kimekuja na jina? Well haya tujifurahishe
Nyamaza mbona hutaki kunisikia , endelea kuhubiri watu watubu achana na vuvuzela na vipofu wasioonaBado Pana wahuni Kwa Chama chako, tena viongozi!?
Chama la wahuni!!!!
Mtoa mada ameshakwambia kwamba you are not a HIGHLY RANKING OFFICER.Kuna watu mnajifanya ndio mnapanga safu za Viongozi wa Nchi hii na mnaratibu genge lenu kutisha viongozi..