mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,404
Mambo anayofanya huyu mama yanafanana kabisa na mambo aliyokuwa anafanya dikteta mobutu.Alihamisha wanyama kupeleka kijiji kwake lakini mwisho wa siku wanyama wakafa sababu ya mazingira mabaya.kwa mara ya kwanza Tz tumepata dikteta