Nani amemroga Profesa Palamagamba Kabudi?

Kwaiyo watu wote walikuwa wanategemea aje? Kwamfano. Mwenye mamuzi kusu maisha yamtu nimtu mwenyewe nasio mitazamo yawatu wengine hayo nimanuzi yake binafsi (uyu kasema hivi yule kasema vile haibadilishi ishakuwa nandoiko hivyo mpk amue mwenyewe )
 
Every person has a price, the only problem is affordability.
 
Hata sie ambao hatukusoma sheria kipindi hicho pale udsm cheche zake tulizitambua ila sasa huyu prof ni hewa tu.
 
Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia,time will tell. Njaa mbaya sana. Tumbo kwanza taaluma baadae
 

Jibu ni moja tu ndugu yangu NJAA

Yaani kwa nchi kama hii huoni professor ambaye anakufanya uheshimu usomi wa daraja hilo. Yaani maprofesa wana njaa kuliko chokoraa.
 

mkuu AMARIDONG kama bado uko hai ni kwamba usiyempenda leo ni Waziri wa katiba na sheria
 
Hawa ndugu zetu wanataka kila aliyesoma awe upande wao. Hawajui kwamba wasomi siku hizi wako kila pande ya nchi hii na wanao uhuru wa kufikiri na kutenda lolote ili mradi hawavunji sheria.
 
wewe akili yako haiko sawa. hivi ccm ni chama cha kuzimu? hivi mtu msomi akiisapoti ccm basi usomi wake unaondoka au unapunguka? kwa hiyo maprofesa walioko chadema au cuf au kwingineko ndio wasomi kamili kwa kuwa wako upinzani? Ni vyema ukaleta hoja za kutofautiana na mtu kwa hoja zake - usimchukie mtu au kumshambulia kwa kuwa ANASEMA AU KUTENDA USIYOPENDA WEWE: Muswada unaouona wewe ni mbovu unaweza usiwe mbovu kwangu - law making is all about power relations in a society kwa hiyo wenye nguvu siku zote watatunga sheria wanazozitaka na hii ni popote DUNIANI. Kuichukia Kwako CCM kusikufanye ukawachukia watanzania na Tanzania - zingatia upinzani wa fikra na maoni na usishugulike na PERSONALITY. Shame
 
Nakuona umekaa nyuma kuwalinda wabadili gia angani ili wasidhurike. Haya!
 
Mtoa mada. Asante. Hivi ndivo ilivo kwa wasomi wetu wa KIAFRIKA. Professor Lipumba ni hivo hivo. Shillingi ina ng'ata kwelikweli.
 


you are too inferior kwa prof.


assume uliyoyasema yoooote ni kweli na kuwa prof kanunuliwa ana njaa na kapoteza credibility.
.so what???

Kabudi ndio anaifanya ccm iwe madarakani? yaani kabudi akiwa vile unavyotaka tutakuwa tumeendelea kama marekani?

au kabudi alivyokuwa vile alivyokuwa unavyopenda wewe, ulimpa sh. ngapi??

acha awe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…