Nani amemroga Profesa Palamagamba Kabudi?

mtu anapochangia mtazamo wake katika maswala mbalimbali ni lazima mtazamo wake udondokeee kwa walio wengi?au aseme anachokiamini bila kufungwa na yeyoyote,kutokana na hilo nashauri mtu anapokuwa kaongea pumba tusimua attack yeye direct,tuattack hoja yake hiyo ambayo sisi tunaiona pumba
 
Muswada ulioko bungeni hivi sasa pamoja na mambo mengine unatoa nguvu kubwa kwa "Rais" wa zanzibar. Prof. kabudi anaweza kutukumbusha kile alichosema wakati wa utawala wa Dr Salimin amour

nakumbuka vizuri kisanga hicho Prof. kabudi kipindi hicho alikuwa mwimba mcungu juu ya hoja za leo kama zanzibar ni nchi au sio nchi. Nakumbuka kisa chenyewe: wasomi kadhaa w aUDSM wakiongozwa na Dr kabudi kipindi hicho walimweleza "Dr"Salimin Amour kuwa yeye ni sawa na Luteni Yusuf makamba( wakati huo mkuu wa mkoa wa dar es salam).

Dr Salimin akaja juu akatishia kuwashitaki wakamwambia nenda mahakamani ili uje utueleze pamoja na mambo mengine kama kweli wewe ni rais, walimwmabia kw amujibu w amtakaba wa Montevideo nafikiri wa mwaka 1933, ili nchi iweze kuwa nchi inapaswa pamoja na mambo mengine, Jeshi lake, Salimin Una jehsi: ili nchi iweze kuwa nchi kiongozi wake anapaswa kuw ana uwezo w akuingia mikataba ya kimataifa: Salim Unaingia mikataba ya kimataifa?N.k

Najiuzluza leo Prof. kabudi anaweza kusimamia maneno haya?. Akayalinganisha na madaraka yaliyotolewa kwenye muswada wa sasa sawa na madarakaya rais wa JMTi?
 
hapo ndo utaona JK kachagua mijitu ya hajabu sana

What a shit palamagamba?
 
Hajalogwa anasimamia taaluma yake ya sheria sio kufuata matakwa ya wanasiasa!
Hongera Prof.
 
i still believe in my mwalimu, hiyo ni ishu ndogo sana bro, what matters is alipotufundisha alikuwa anatupa nini? it is the content that matters na sio personality yake kwa sasa
 
Tnaomba picha yake sie wengine Hatujasoma udsm
 
Inawezekana alilogwa kweli, LAKINI sasa amezinduka! Ana hasira ya kuuawa kwa rafiki yake Prof. Mvungi... Uchambuzi wake wa kina leo umempaisha na kumfanya kama tegemeo kubwa na hazina kubwa kwa Taifa hili... Binafsi nimeshawishika kurejea darasani kusoma sharia kwenye darasa lake atakalo fundisha ... Intellectually yuko bomba ile mbaya...Huyu Jamaa anauwezo mkubwa sana wa kumtoa nishai yule Prof Muhongo Mwenye kuuza nchi kwa Wamarekani ...
 

Acha Kutumika Mkuu Na Mtu Kutokwa Na Mate Wakati Anazungumza Sidhani Kama Ni Hoja Ya Kuileta hapa / humu Na Isitoshe Hujafa Hujaumbika Mkuu. Mtu Dhaifu Huwa Anaangalia Vitu Vya Kipumbavu Kwa Adui Yake Kama Silaha Yake Ya Utetezi. Mbona Sisi Hatusemi Jinsi Wabunge Ambao Hukaa karibu Na Wasira Hulalamika Kuwa Huwa Anajamba Sana ktk Vikao? Na Hili Sitanii Ni Kweli Kwa Asilimia 100%. Nimesikitika Kuona Unamjadili Baba Wa Watu Kwa Itikadi Zako za Uchama Tawala Huku Ukiacha Kuangalia Mambo Mema Profesa Aliyotuambia Leo. Sikutaka Kutoa Ukweli wa Huyo Tyson ILA Nimeona Nami Nikupe Sehemu Ya Ukweli wa Kada Wako Wa Upande wa Pili.
 
Mkuu slow down... uzi wa long time huu... Nyakati zile tukubali alikuwa amelogwa ... Baada ya Kumua Prof Mvungi, imemzindua na sasa amedhamiria kuizika CCM ... Kabudi Bonge la Jembe ....
 
Nilipopewa kuusoma huu Uzi nikashtuka Kumbe mumekumbushia mpaka kadhaa nyuma...... Basi msijali vijana yule mtu muliyekuwa mwamtegemea amerudi kwenye mstari na amejivika silaha tayari kutetea Taifa lake......semeni Mungu yu mwema.
 
Hahahahahhhhhr.....Watu wametokwa povu hapa bila kuangalia tarehe ya uzi ulipoanzishwa....Mwenyewe nusura nimlushie ngumi mtoa hoja hapa kuchek maudhui ya mada na namna anavyoiwasilisha nika note jambo loooh watu tunatoka mbali sana

BACK TANGANYIKA
 

Walibya walsema hivyo hivyo, Wamisri nao pia , huu ndio ulimwengu bwana !
 

hata mwigulu akili zimemrudi, aliyebakia ni Lukuvi na wasira.
 
....Kabuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuudiiiiiiiiiiiiiiiiii! KARUDI! Leo kama CCM hawajamwelewa NTAWASHANGAAAAAAAAAAAAAAA! Nawashauri Wajumbe wa BONGE la katiba waisome RANDAMA pamoya na RASIMU ya Katiba MPYA ibara za 6, 8, 10 na 15 KWA PAMOJA kabla hawajarudia kuwatukana kina Sinde. Yaani kwa Ung'eng'e: They should ready CROSS SECTIONALLY all these artlicles.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…