Nani amemfundisha Harmonize kujibu Maswali vizuri mbele ya camera? Amepiga hatua kubwa na amewazidi wasanii wengi

mi sijui nakwama wapi? mbona naona hii album ya kawaida kabisa! 85% ya nyimbo zote n sample ya zile zilizotamba huko nyuma, kimelody, beat na hata lyrics ... afu kiingereza chake lolololololooooh! kajitahid tu kwny refix ya "never give up" kwengine kaboronga.... unaija mwingi

kingine hii album kaimba km mtu aliye kwny mawazo mengi ya kuonewa, sauti yake kwa kiasi fulani inatia huruma...

mwisho ni kuwa next time ajitahid kuchanganya producers, sio album nzima wawili au watatu tu!

yangu ni hayo
nashangaa watu kama wewe corona inawaacha mpaka sasa
 
'...CHUKI HUMCHOMA ANAYEIHIFADHI....

Fid Q
mi sijui nakwama wapi? mbona naona hii album ya kawaida kabisa! 85% ya nyimbo zote n sample ya zile zilizotamba huko nyuma, kimelody, beat na hata lyrics ... afu kiingereza chake lolololololooooh! kajitahid tu kwny refix ya "never give up" kwengine kaboronga.... unaija mwingi

kingine hii album kaimba km mtu aliye kwny mawazo mengi ya kuonewa, sauti yake kwa kiasi fulani inatia huruma...

mwisho ni kuwa next time ajitahid kuchanganya producers, sio album nzima wawili au watatu tu!

yangu ni hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikiliza nyimbo zake 4..ikiwemo ile Diena Khaligraph Jones ila amesample vibaya sana nyinbo ile ya wyclef Jean ft MiA -she used to be a sweetest girl kama hakuomba copyright kisample hio beat itakuja mletea shida siku za mbeleni

angefanya Diamond hii pasingekalika kila kona makelele
 
Muda mwalimu mzuri utaongea tu,mwisho wa siku utajulikana nani anahesabu nazi na nani anahesabu makuti.

Tuziache number ziongee na si hisia.
 
Back
Top Bottom