Nani amemfundisha Harmonize kujibu Maswali vizuri mbele ya camera? Amepiga hatua kubwa na amewazidi wasanii wengi

Yaani mkuu uzi wako ungeeleweka bila hata kuweka Neno rayvanny au domo. Ilitosha kabisa kumsifia mmakonde bila kuwataja Hao wengine.

Sema sio Mbaya we write what we love the most.
 
Back
Top Bottom