Nani aliyevujisha mkataba wa Bandari na DP World?

Hizo document huwa haziwekwi kwenye computer. Computer zinazotumika kuiandaa huwa zinaharibiwa baada ya printing.

Tuseme ukweli Huyu MTU aliyatendea haki mafunzo ya ujasusi. Amejitoa maisha yake kwa ajili ya taifa lake.
Mkataba umesainiwa kwa nakala mbili tu, hard copy. Yeye kauweka kwenye PDF kama ulivyo, hadi makosa ya sahihi ya Mbawala yakaonekana.
Haaaa eti computer zinaharibiwa
 
Ila Wakuu huu Mkataba umetuacha uchi Watanzania hasa viongozi wetu wa kitaifa alafu ambavyo Ma-CCM hayana aibu,bado yanazunguka nchi nzima kuanika ujuha wao.Aibu naona Mimi,hivi mataifa mengine ambayo yanaijua nchi ya Mwalimu Nyerere wanatuonaje!
Viongozi ndo hao kina Msukuma
 
Ila Wakuu huu Mkataba umetuacha uchi Watanzania hasa viongozi wetu wa kitaifa alafu ambavyo Ma-CCM hayana aibu,bado yanazunguka nchi nzima kuanika ujuha wao.Aibu naona Mimi,hivi mataifa mengine ambayo yanaijua nchi ya Mwalimu Nyerere wanatuonaje!
Daa mkuu tumejiaibisha sana aise
 
Duniani hakunaga Siri ya watu 2 na kuendelea.

It is a matter of time everything would reveled out.
Wa Bagamoyo uliuona ?

Haya mambo ya kusubiri vitu vivuje badala ya kudai viwekwe wazi mali zetu zitaendelea kupigwa...

Rai yangu sio hii tu, bali Mikataba yote aliyosaini Samia tangia aingie na wale wengine wote, yote iwe wazi; Kama kuna technicalities basi tuanze na hii ya SAMIA na kuendelea (Hakuna cha USIRI tena)
 
kuna watu wachache ndani ya CCM, Usalama wa Taifa pamoja na JWTZ wana uchungu sana na Tanganyika yao, kuna siku wataamua kusimama wahesabiwe na hapo ndipo itakuwa mwisho wa CCM.
Amini, hii siku yaja
 
TISS kazi yao kubwa ni kulinda maslahi ya Rais. Hivyo hawahusiki katika kuvujisha huo mkataba, hata kama kuna mwana TISS kafanya hivyo basi wakimgundua atafukuzwa kazi kwa aibu .
Hiyo ndio Tanzania
Atauliwa kama kuku haraka sana. TISS haifukuzi ntu kazi. Ukionekana threat unapotezwa kumya kimya.
 
Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya.
Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio sasa ikaruhusu Mzanzibari kurithi Urais wa serikali hii badala ya siku zote kuishia umakamu wa Rais kwa ajili tu ya kulinda maslaha ya Zanzibar ndani ya Muungano?

Ikitokea kama kifo cha Rais wa Tanzania basi kipengele kingesema aliekuwa Waziri Mkuu au Jaji Mkuu, Speaker wa Bunge ashike Urais hadi Uchaguzi mkuu ujao. Mzenji akibaki nafasi yake kivulini ya umakamu ili alinde maslaha ya nchi yao Zenji.

Uvivu huu sasa ndio unaumiza forever, haya mambo yatapelekea vita na nchi za kiarabu. Na tutavwamiwa kinguvvu. Nipo paleee nanywa kahawa mie.

Zanzibar-Nyamwezi,

You are genius....! Niko Bara ningekuwa na nafasi ngekuletea maua yako!
 
Back
Top Bottom