Tume ya katiba imenichanganya, imenishangaza na imeniacha hoi..Nani alitoa maoni ya serikali TATU?? je ni asilimia ngapi?? Wananchi wangapi wa kawaida wanaujua muundo huo.?? Kama katika muundo huu tulionao shule hazina madawati, hospitali hazina vifaa, balabala hazina lami, wafanyakazi wanadai malimbikizo, wastaafu hawajalipwa mafao yao, polisi hawana magari, wanachuo hawapati mikopo..n.k... Je tutatoa wapi pesa ya kuunda na kughalimia hiyo serikali ya tatu? kuwajengea majengo, kewanunulia mashangingi, kuwalipa mishahara minono,na nyingine watazoiba??? Kwanini iyo pesa isitumike kupunguza matatizo yetu..au kwa busara ileile waliyotumia wana tume kupendekeza muundo huo, kwa nini wasingependekeza serikali moja ili tuserve pesa kwa ajili ya matatizo lukuki yanayotuandama?? Hii ni nchi ya ajabu sana tena sana, HAINA PRIORITY.. nini cha muhimu, kero za muungano au matatizo ya wananchi ambao hata food, cloth and shelter ni tatizo ?? kwa budgeti yetu tegemezi sikutegemea busara mbovu kama hii.....na kwa msingi huu wa "ingawa wananchi wengi walisema hivi ila tume ikatumia busara" kazi ipo.

Mkuu, kama ulimskia vizuri warioba, suara la serikali tatu ilikua ni busara ya tume baada ya asilimia kubwa ya maoni kupendekeza uvunjwe ..na ni asilimia ndogo tu iliyo usupport. Nakuhakikishia ni maeneo mengi tu maoni yamepuuzwa na tume ikaingiza "BUSARA" yake....Comred, Hayo ni maoni ya Tume. Kazi ambayo walipewa kama tume ndo hiyo yaani kukushanya maoni na kuya analyise habari ya matumizi ya maoni hayo ni yenu watanzania. Ni kama utafiti hivi utafiti unafanya na mapendekezo yanatolewa ni mazuri kiasi gani ama ni mabaya kiasi gani yana tekelezeka au hayatekelezeki sio jukumu la Mtafiti.
Kwa hivyo Jaji warioba asilaumiwe kwa lolote kazi yake amefanya imebakia kwetu kuchambua kipe ni chema.
Swala la serikali tatu lina faida kwa wanasiasa tuu, tena wenye uchu wa madaraka na si kwa mwananchi wa kawaida..kama hulioni hata hili then nakuonea huruma sana. Wanajitengenezea nafasi za kisiasa na mianya ya ulaji tu, lakini deepdown haina manufaa yeyote zaidi ya kuzidisha gharama na migongano ya kimadaraka. Angalia kwa makini ni kina nani hasa wanashabikia hili swala then utapata majibu mkuu.kama tuna nia na muungano Kwa nin swala la serikali MMOJA linapingwa sana na wanasiasa!!! kwao hata serikali nne ni bora kuliko maisha ya wananchi.Songoka
Mimi nafikiri wewe ndiye mwenye matatizo. Una hasira kwelikweli, sijui ni kwa vile pendekezo lako halikupita. Tume imefanya uchambuzi kwa mujibu wa maoni waliyopokea na walichokipendekeza ndico wanachokiona ni bora zaidi kwa mstakabari wa nchi. inawezekana pia wewe ni mmoja wa wale ambao hawakutoa maoni wakitarajia kuwa wanachosema Chama Tawala ndicho kinakuwa - maandiko ya Biblia na Quaran! wenzenu walijiandaa wakawafundisha watu cha kusema na wakasema hivyo.
Lakini suala la serikali tatu si la leo. Watu wamependekeza siku nyingi hata kabla ya kuingia mfumo wa vyama vingi! Kinachonishangaza ni kwa nini watu wanastuka kana kwamba ni kitu kipya. Unajua kuwa kuna wakati ni nguvu za Nyerere tu zilizuia hili. Nawashangaa zaidi wazee wetu wa wakati huo ambao waliunga mkono hoja ya Serkali tatu leo wnatoa sauti ya kuipinga! Au ndio unafiki huu?
Suala la gharama, nafikiri watu wanalikuza bila ushahidi wowote. Gharama tunazotumia kuudumia serkali hizi mbili ni kubwa mno; na tukiweka mifumo mizuri tutapunguza gharama inawezekana hata tusizifikie za sasa. Nafikiri wote wanao sema kuhusu gharama nyuma ya maoni yao haya wana maana ya 'ugomvi na mgongano wa kimadaraka'. Na ili kweli litakuwepo tusipoangalia na kuweka mifumo mizuri. Ndiyo maana hoja ya Prof Lipumba ina mantinki, tuangalie katiba zote (ya Muungano, ya Zanzibar na ya Tanganyika) ili kusije kuwa na muingiliano wa madaraka.
Usiwe na hofu, punguza hasira na toa maoni yako.
Hili la Serkali moja hata Nyerere alilitolea sababu. Zanzibar watajiona wamemezwa na kwa ili wazanzibar wotewa CCM, CUF na wasio na chama watalikataa. Hawatataka kupotenza utambulisho wao.Wa huku bara wengi wataunga mkono serkali moja. Kumbuka hizi ni nchi mbilli zilizoungana huwezi tu kuzipotezea. Nafikiria muungano unaotoa autonomous kwa nvchi nzi ni bora kuliko aina ingine yoyote ya muundo wa muungano.Swala la serikali tatu lina faida kwa wanasiasa tuu, tena wenye uchu wa madaraka na si kwa mwananchi wa kawaida..kama hulioni hata hili then nakuonea huruma sana. Wanajitengenezea nafasi za kisiasa na mianya ya ulaji tu, lakini deepdown haina manufaa yeyote zaidi ya kuzidisha gharama na migongano ya kimadaraka. Angalia kwa makini ni kina nani hasa wanashabikia hili swala then utapata majibu mkuu.kama tuna nia na muungano Kwa nin swala la serikali MMOJA linapingwa sana na wanasiasa!!! kwao hata serikali nne ni bora kuliko maisha ya wananchi.
Hahahaha, this is the best question toka mwaka huu uanze, watupatie working papers
Mkuu GETSTART wewe naona bado unaongelea siasa....nachojaribu kukuelewesha ni kuwa..kuna umuhimu gani wa kuendekeza siasa zinazoturudisha nyuma??matatizo yetu ni mengi na makubwa kuliko hili la muungano..tushughulikie hayo na sii kujitwisha gharama za ajabu ajabu ili kufurahisha wanasiasa na kuwatengenezea ulaji wakati zaidi ya asilimia hamsini ya shule vijijini hazina madawati.Hili la Serkali moja hata Nyerere alilitolea sababu. Zanzibar watajiona wamemezwa na kwa ili wazanzibar wotewa CCM, CUF na wasio na chama watalikataa. Hawatataka kupotenza utambulisho wao.Wa huku bara wengi wataunga mkono serkali moja. Kumbuka hizi ni nchi mbilli zilizoungana huwezi tu kuzipotezea. Nafikiria muungano unaotoa autonomous kwa nvchi nzi ni bora kuliko aina ingine yoyote ya muundo wa muungano.
Mkuu GETSTART wewe naona bado unaongelea siasa....nachojaribu kukuelewesha ni kuwa..kuna umuhimu gani wa kuendekeza siasa zinazoturudisha nyuma??matatizo yetu ni mengi na makubwa kuliko hili la muungano..tushughulikie hayo na sii kujitwisha gharama za ajabu ajabu ili kufurahisha wanasiasa na kuwatengenezea ulaji wakati zaidi ya asilimia hamsini ya shule vijijini hazina madawati.
Comred, Hayo ni maoni ya Tume. Kazi ambayo walipewa kama tume ndo hiyo yaani kukushanya maoni na kuya analyise habari ya matumizi ya maoni hayo ni yenu watanzania. Ni kama utafiti hivi utafiti unafanya na mapendekezo yanatolewa ni mazuri kiasi gani ama ni mabaya kiasi gani yana tekelezeka au hayatekelezeki sio jukumu la Mtafiti.