Nani aliyemuumba Mungu?

Mungu anaweza kuwepo bila cause kwa sababu Yeye ndiye aliyeumba vitu vyote vilivyoumbwa; pasipo Yeye hakikuumbwa chochote kilichoumbwa. Yeye ndiye cause ya kila kitu - Yn 1:3.
Cause ya kila kitu haiwezi kuwa na cause kwa kuwa original cause haina time (omnipresent).
Something immaterial (without matter) and omnipresent (without time) must have created everything.
God cannot be one of the made things, because He made all of the made things.
 
Hoja yako imejaa improbable assumptions
1.God created everything
-why and how ?
-What is God?
-Which God?
-Why God and not something else?
-Is she or he?why and how?

2.God is immaterial
-why and how
-how can immaterial entity influence the material universe?

Halafu usi quote biblia Ku prove hoja yako,avaod circular reasoning
 
Mjadala wa Juu kabisa huu Mungu hajawahi onekana and then watu wanajadili asiyeonekana katokea wapi na nani waliomuweka... kazi kubwa sawa na yai na kuku kipi kilianza
 

Ni vizuri hoja zako zikajibiwa bila mihemuko

Katika dini fulani amewasisitizia mungu wao, wamwabudu mungu kwa akili , nguvu, na roho

Kuuliza pasipoeleweka ni kutimiza pia takwa hili, Bali kukaa kimya wakati kichwa kina maswali huko si kumwabudu mungu anaesemwa hapa!
 

Una maana gani unaposema kila kiumbe kimeumbwa kumjua mungu?

Unamaanisha kila kiumbe including mwanadamu tayari anamjua mungu ? Kama ni hivyo hivyo vitabu vya dini vina kazi gani? Watu wa dini kama sheikhs, pastors wapo pale kwa lini?
 


Ndicho hicho ninachosema kwamba akili ya mtu siku zote inawaza mambo yanayoifikia, mfano mtoto anayeanza kujitambua anaweza kuwaza na kuuliza: Mungu yuko wapi??, Mungu kaumbwa na nani??, Mungu anakula au hali?? nk, --- kwa maswali hayo huyu mleta mada atamwita huyo mtoto: A sophist, an unintellectual, an ignorant, tapeli nk, kitu ambacho mimi napinga, haiwezekani mtu anayehoji maswali hayo aitwe majina hayo.
 
Una maana gani unaposema kila kiumbe kimeumbwa kumjua mungu?

Unamaanisha kila kiumbe including mwanadamu tayari anamjua mungu ? Kama ni hivyo hivyo vitabu vya dini vina kazi gani? Watu wa dini kama sheikhs, pastors wapo pale kwa lini?
Namaamisha hali ya kukubali uwepo wa Muumba na anaendesha mambo. Endapo akiwa akili yake imesalimika,na pindi akipatwa na majanga kuna hali inamuijia ya kumtafuta Mola na kumtaka msaada.

Huu ni ushahidi mkubwa kuzidi shahidi nyingine kama vile "tangible evidence" na ushahidi wa "ufunuo".
 

Moja kati ya majibu yenye kuleta mantiki [emoji120] Barikiwa sana Mkuu
 


That's to say He is a CAUSA CAUSAN and ETERNAL, those are distinguishing attributes of God.
 
Kabla ya kubishana nani alimuumba Mungu ungeanza kwa kusema Mungu yupi...kama ni Allah tunamjua aliumbwa na Muhammad nk. N.k
Labda ungeanza kwa kutuonesha kwa thibati kabisa huyo mungu unayemzungumzia
Wee jamaa MUONGO.
Unastahili Phd. ya Ubabaishaji.
Huo Uzushi wako ukiuongea hadharani hata Wagalatia wenzako watakutia makwenzi.
 
Miungu ni mingi sana.sasa umesema kwa ujumla wao.mfano
MUNGU BAAL.huyu mie hanihusu.
Budha
Allah!!
Mungu chatu wa kijta nk hawanihusu hawa mie tena naweza wapiga mateke wakafie mbali huko.

Fikiria kwanza siyo unakuja na kimungu chako hapa unachokijua tutakipiga sisi hakitarudi tena kwetu kutujaribu jaribu km watoto wadogo.

Na ukiambie hicho kimungu jf ni hatari kuna watu wana Mungu wao hatari anaua miungu.
 
Kitu ambacho kipo kina mwanzo, kama unaamini Mungu yupo basi ana mwanzo, tutafute kwa makini aliyemuumba .
 
Kitu ambacho kipo kina mwanzo, kama unaamini Mungu yupo basi ana mwanzo, tutafute kwa makini aliyemuumba .
Aliyeumba kila kitu kilichoumbwa hawezi kuumbwa la sivyo atakuwa amejiumba mwenyewe kitu ambacho logically it's impossible!
Mungu hana mwanzo kwasababu hafungwi na 'time' au tuseme yupo nje ya muda. Sisi binadamu tupo time bound kutokana na sababu kuwa muda (time [`t]) ulianza kuhesabu from day 1 ya uumbaji wa Mungu.
 
Mjadala wa Juu kabisa huu Mungu hajawahi onekana and then watu wanajadili asiyeonekana katokea wapi na nani waliomuweka... kazi kubwa sawa na yai na kuku kipi kilianza
Kwa sababu umeshindwa kutofautisha kutokuonekana na kutokuwepo.
 
Ili tuepukane na huu mjadala, naomba uweke kwenye kumbukumbu zako "tunamuumba Mungu kwenye akili zetu" baada ya kufikia upeo wa mwisho wa kufikiria unadhani kuna mweza ya yote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…