Reasoning=0Kwa mtu mwenye kutafakari atajua kuwa Mungu yupo... Kwani uthibitisho Ni mwingi Sana...ila Wewe umeshaangamia ni rehema TU za Mungu ndo zinaweza kukuokoa.
Ona ulivyo kuwa hutumii akili, tunaeleza maana ya haki unaleta habari ambazo haziusiani na tamko hilo. Ndiyo maana nikakwambia thibitisha ya kuwa Haki si Ukweli.Jana niliua mtu
hiyo statement ya juu inaweza kuwa ukweli ila sio haki
umejibu kama walivyomjibu mtu wa kwanza kusema dunia ndo inazunguka jua...Mambo ya.kustaajabisha haya...
Hujawai hata kuuona ukuu.wa Mungu katika maisha yako unayoishi...Yaani hakuna alichokufanyia huyu Mungu unae mdhihaki namna hii.Reasoning=0
unachofanya sio kunipa sababu ya kwanini unaamini unachoamini ila unanipa maneno mnayomezeshwa huko ili msitoke
(NB:sijasema siamini katka mungu ishu ni mungu yupi)
Jaribu kukanusha haya maneno kwa ithibati na bayana, usiandike bila ithibati maana kila mtu husema anacho kitaka, tunakuja kujua mbivu na mbichi pale kale katika ithibati.Reasoning=0
unachofanya sio kunipa sababu ya kwanini unaamini unachoamini ila unanipa maneno mnayomezeshwa huko ili msitoke
(NB:sijasema siamini katka mungu ishu ni mungu yupi)
Kuna kipindi na Mimi nlikua na imani ndogo Sana juu ya Mungu...mtu akimtaja Mungu naona Kama ananipotezea muda..Reasoning=0
unachofanya sio kunipa sababu ya kwanini unaamini unachoamini ila unanipa maneno mnayomezeshwa huko ili msitoke
(NB:sijasema siamini katka mungu ishu ni mungu yupi)
Kusoma kwako.kote ..ukawa na madegree ukaenda mwezini.. na sayari ya Mars. Ukagunudua teknologia za Hali ya juuu...umejibu kama walivyomjibu mtu wa kwanza kusema dunia ndo inazunguka jua...
wao waliamini jua linazunguka dunia kwasababu waliamini ni mungu wao na linawalinda ila hawakutaka kuamini vinginevyo kwasababu tokea watoto walikua wakiaminishwa hivo
Hujawai hata kuuona ukuu.wa Mungu katika maisha yako unayoishi...Yaani hakuna alichokufanyia huyu Mungu unae mdhihaki namna hii.
Usije ukamuita Mungu siku umepatwa na madhila makubwa...Maana hapo ndo huwa mnakumbuka Kuna Mungu
sawa,wewe kwanini alikuumba?Kusoma kwako.kote ..ukawa na madegree ukaenda mwezini.. na sayari ya Mars. Ukagunudua teknologia za Hali ya juuu...
Elimu yako yooote hiii haitokusaidia kitu labda hapa duniani...lakini mbele ya Mungu hii elimu haina msaada Kama umeshindwa TU kujua lengo la kuumbwa kwako..
Utashika vyadunia utavikumbatia, utavitetea lakini utaviacha...Kama walivyoviacha wale waliopita kabla yako..
Hakika una hasara kuubwa.
Si unasema Mungu kaumbwa na Muhammad?"mungu" yupi nimemdhihaki?
"mungu" yupi sijaona ukuu wake?
Kusudi la kuumbwa mwadamu Ni kufanya ibada.... Kumuabudu Mwenyezi Mungu... Kumtii Mwyezi Mungu... Kufuata maamrisho Yake na. Kuacha makatazosawa,wewe kwanini alikuumba?
nifumbue namm nifumbuke
siwezi kukanusha maneno yangu.Jaribu kukanusha haya maneno kwa ithibati na bayana, usiandike bila ithibati maana kila mtu husema anacho kitaka, tunakuja kujua mbivu na mbichi pale kale katika ithibati.
Ulisema Qur'aan ni stori zimetungwa na mtume, ila huthibitisha. Hii ni ishara ya kuwa unachokidai hukijui bali unaongozwa na ujinga.
Ndiyo maana hujaweza kuthibitisha maneno yako.siwezi kukanusha maneno yangu.
nahisi kama napoteza muda wangu eniwei ngoja nijaribuOna ulivyo kuwa hutumii akili, tunaeleza maana ya haki unaleta habari ambazo haziusiani na tamko hilo. Ndiyo maana nikakwambia thibitisha ya kuwa Haki si Ukweli.
Ngoja nikusaidie maana ya Ukweli ili utulize akili unapo linganisha maneno, Ukweli ni kauli au kotendo kuafikiana na hali halisi.
Usijenge hoja aua kurudia maneno mpaka uwe umeelewa nilichokiandika hapo, maana kinafidisha ulichokiandika na utakacho kiandika kuhusu jambo hili.
SawaNdiyo maana hujaweza kuthibitisha maneno yako.
Hili limeisha.
Kwanini tufanye yote hayo?Kusudi la kuumbwa mwadamu Ni kufanya ibada.... Kumuabudu Mwenyezi Mungu... Kumtii Mwyezi Mungu... Kufuata maamrisho Yake na. Kuacha makatazo
sorry nlkuwa namzungumzia character aitwaye allah kwenye kitabu cha muhamad kiitwacho quranSi unasema Mungu kaumbwa na Muhammad?
Nimekujibu hivi: sheria ya base ten math inasemaje. Au hiyo base ten math haina sheria? Bado tu hujafahamu?Sasa mbona bado hujajibu kama nilichosema na kufundisha, kwamba katika base ten math 1 + 1 = 1, kina mantiki au hakina mantiki?
Unajinasibu kama unaelewa. Ndivyo unavyojibainisha kwa wafuasi wako humu!Hujajibu swali langu. Hata kama sijaelewa, kutonijibu jwako hakunieleweshi.
Intellectual knowledge ni nini na sensual knowledge ni nini na unazitofautushaje?
Hujajibu swali hili.