Thibitisha.hiyo mitume+allah ni stori za muhamad na kitabu chake cha quran,,,
Ushahidi wa hili.hao mitume wenyewe wewe huna maandishi yao au huwajui ila kupitia stori alizokuja nazo muhamad kwenye kitabu chake cha quran(technically kitabu kiliandikwa miaka mingi na wafuasi wake waliokuwa bado wanazikumbuka soga zake)
Mh....Baki na unachokiamini..Maana huu mjadala hautokunufaisha...zaidi unamdhihaki TU mtume wangu kipenzi aliniletea Dini ya haki...hiyo mitume+allah ni stori za muhamad na kitabu chake cha quran,,,
hao mitume wenyewe wewe huna maandishi yao au huwajui ila kupitia stori alizokuja nazo muhamad kwenye kitabu chake cha quran(technically kitabu kiliandikwa miaka mingi na wafuasi wake waliokuwa bado wanazikumbuka soga zake)
Mwenyezi Mungu humuongoza yule amtakae...Nakuombea upate Kutambua kusudi la kuumbwa kwako kabla ya kufa kwako.... Itakua imekusaidia Sana.hiyo mitume+allah ni stori za muhamad na kitabu chake cha quran,,,
hao mitume wenyewe wewe huna maandishi yao au huwajui ila kupitia stori alizokuja nazo muhamad kwenye kitabu chake cha quran(technically kitabu kiliandikwa miaka mingi na wafuasi wake waliokuwa bado wanazikumbuka soga zake)
sitaki uamini nachoamini nataka uwe na choice na unachoamini,,maana wew mwenyewe hukijui unachoamini ila unaamin ulichoaminishwa,,mimi on the contrast sina upande ambao nimen'ang'ania no matter how corrupt,illogical au invalid ila niko very open minded and ready to learn kutoka kwakoMh....Baki na unachokiamini..Maana huu mjadala hautokunufaisha...zaidi unamdhihaki TU mtume wangu kipenzi aliniletea Dini ya haki...
amin,,kusudi lako wewe kuumbwa ni lipi?Mwenyezi Mungu humuongoza yule amtakae...Nakuombea upate Kutambua kusudi la kuumbwa kwako kabla ya kufa kwako.... Itakua imekusaidia Sana.
Safi, nimependa ulichokiandika.Mh....Baki na unachokiamini..Maana huu mjadala hautokunufaisha...zaidi unamdhihaki TU mtume wangu kipenzi aliniletea Dini ya haki...
Haki ni sahihi na ukweli.sitaki uamini nachoamini nataka uwe na choice na unachoamini,,maana wew mwenyewe hukijui unachoamini ila unaamin ulichoaminishwa,,mimi on the contrast sina upande ambao nimen'ang'ania no matter how corrupt,illogical au invalid ila niko very open minded and ready to learn kutoka kwako
kwa mfano unaposema dini ya "haki" unamaana ipi? haki ipi na kwa nani iliyoletwa na huyo mtume?
kasome kitabu kinajiita quran mwanzo mwisho...ukikutana ma stori kuhusu mitume,allah basi ndo uthibitisho huo.Thibitisha.
Ushahidi wa hili.
Yaani mungu aliumbwa na mtume Muhammad?Kabla ya kubishana nani alimuumba Mungu ungeanza kwa kusema Mungu yupi...kama ni Allah tunamjua aliumbwa na Muhammad nk. N.k
Labda ungeanza kwa kutuonesha kwa thibati kabisa huyo mungu unayemzungumzia
Jibu swali kwa kile ulichokiandika, umesema hizi ni stori maana yake ni uongo, sasa thibitisha uongo wake uko wapi ? Au umesikia tu ? Mmepewa akili za bure lakini hamzitumii.kasome kitabu kinajiita quran mwanzo mwisho...ukikutana ma stori kuhusu mitume,allah basi ndo uthibitisho huo.
kwa kamusi ya nani? au kwenye dini maneno yana maana tofauti?Haki ni sahihi na ukweli.
Huyo anaandika anacho jisikia ukimtaka ushahidi hana.Yaani mungu aliumbwa na mtume Muhammad?
Thibitisha sasa kama Haki si ukweli ?kwa kamusi ya nani? au kwenye dini maneno yana maana tofauti?
haki=ukweli
Amani=Ugaidi
Tena naongezea ni stahiki, sasa kosoa uonyeshe ya kuwa haki si hivyo nilivyo vitaja.kwa kamusi ya nani? au kwenye dini maneno yana maana tofauti?
haki=ukweli
Amani=Ugaidi
Thibitisha.Amani=Ugaidi
Edwin Semzaba aliwaumba kina Ngoswe,Mazoea,Mzee mitomingi nk. nk. maswahaba waliwaumba kina muhamad,allah,jibril nk. nk.Yaani mungu aliumbwa na mtume Muhammad?
Kwa mtu mwenye kutafakari atajua kuwa Mungu yupo... Kwani uthibitisho Ni mwingi Sana...ila Wewe umeshaangamia ni rehema TU za Mungu ndo zinaweza kukuokoa.sitaki uamini nachoamini nataka uwe na choice na unachoamini,,maana wew mwenyewe hukijui unachoamini ila unaamin ulichoaminishwa,,mimi on the contrast sina upande ambao nimen'ang'ania no matter how corrupt,illogical au invalid ila niko very open minded and ready to learn kutoka kwako
kwa mfano unaposema dini ya "haki" unamaana ipi? haki ipi na kwa nani iliyoletwa na huyo mtume?
Mambo ya.kustaajabisha haya...Yaani mungu aliumbwa na mtume Muhammad?
Jana niliua mtuThibitisha sasa kama Haki si ukweli ?