Nikisema na kufundisha kwamba 1+1 = 1 katika base ten mathematics, kusema kwangu na kufundisha hivyo kuna mantiki?Kosa lako ni kwamba unakosa uelewa.
Mantiki ni kipengee cha sayansi; hivyo ni sayansi.
Sayansi haya ni maarifa, kwanza yanayokua pia yanayochunguza "Kweli zilizobainishwa", ambazo bado hazijathibitishwa.
Kwahiyo "kile kinachosemwa; neno, wazo au kinachofundishwa": au ni kweli au siyo kweli, kinakuwa mantiki kwasababu mantiki ndiyo inashughulika na hayo yote.
Kama kipengee cha sayansi; hivyo nacho ni sayansi, kile kinachosemwa; neno, wazo au kinachofundishwa kinapothibitika hakiwi tena mantiki, ila kinakuwa kweli.
Jambo lililothibitika kisayansi haliwi tena suala au jambo la sayansi, bali huwa kweli/ ukweli.
Kukinzana kwa mambo (contradiction) ndiyo mantiki yenyewe. Kinyume chake hakiwi mantiki, bali kinakuwa kweli.
Hakuna maana yoyote.Nikisema na kufundisha kwamba 1+1 = 1 katika base ten mathematics, kusema kwangu na kufundisha hivyo kuna mantiki?
Nasubiri jibu la Nundu_TanzaniaHakuna maana yoyote.
Nasubiri jibu la Nundu_Tanzania
Nieleze hivi: uelewa au kuelewa ni intellectual knowledge na kukosea ni sense knowledge. Hivi vitu viwili haviendi pamoja.Ukishasema "hakuna kuelewa kukosea" tayari ushaambatanisha kueleewa na kukosea.
Pia, unakataa kwamba hakuna kuelewa kwamba hapa nimekosea?
Hujawahi kuelewa kwamba umekosea?
Mantiki; kama nilivyosema hapo awali kuwa ni kipengee cha sayansi; hivyo ni sayansi.Nikisema na kufundisha kwamba 1+1 = 1 katika base ten mathematics, kusema kwangu na kufundisha hivyo kuna mantiki?
Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijauliza.Mantiki; kama nilivyosema hapo awali kuwa ni kipengee cha sayansi; hivyo ni sayansi.
Tunafahamu, kwamba sayansi inaongonzwa na sheria. Hivyo mantiki nayo ina sheria zinazoongoza.
Hivyo, suala hilo hapo kama ulivyolibainisha litachunguzwa kadiri ya sheria inayoongoza mantiki kujua kama kuna mantiki au hapana.
Intellectual knowledge ni nini na sensual knowledge ni nini na unawezaje kutofautisha moja na nyingine?Nieleze hivi: uelewa au kuelewa ni intellectual knowledge na kukosea ni sense knowledge. Hivi vitu viwili haviendi pamoja.
Niwie radhi kama utakwazika! Yesu alielewa hivyo hakukosea. Kwa sababub Yesu ni uelewa hivyo haambatani na kukosea.
Nataka kusema, kama unaelewa kwanini ukosee?
Au kama unaelewa inawezekanaje uelewe kwamba ulikosea?
Kama ulielewa, kwamba umekosea; hukuelewa, bali umejifunza kwamba ulikosea.
Mtu hawezi kuwahi kuelewa kwamba alikosea. Lakini anajifunza kwamba alikosea.
Kwani uelewa ni sauala la intellectual knowledge ambapo hapa hakuna makosa.
Hivyo kadiri ya swali lako la awali ulivyouliza, haiwezekani uelewa ukaambatana na makosa.
Tatizo lako unauliza usichojua na unajua usichouliza.Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijauliza.
Nikisema na kufundisha 1 + 1= 1 , katika base ten math, hicho nilichosema na kufundiaha kina mantiki?
Sio kwamba ninakosea kusema hauna uelewa. Ni kweli unakosa uelewa.Intellectual knowledge ni nini na sensual knowledge ni nini na unawezaje kutofautisha moja na nyingine?
Hujajibu swali langu. Hata kama sijaelewa, kutonijibu jwako hakunieleweshi.Sio kwamba ninakosea kusema hauna uelewa. Ni kweli unakosa uelewa.
Unavyojipambanua haiwezekani ukawa hujui intellectual knowledge na sensual knowledge!
Jifunze utajua na utaelewa.
Sasa mbona bado hujajibu kama nilichosema na kufundisha, kwamba katika base ten math 1 + 1 = 1, kina mantiki au hakina mantiki?Tatizo lako unauliza usichojua na unajua usichouliza.
Utakubali kwamba base ten mathematics ina sheria inayoiongoza, si ndiyo?
Kama ndio tutaangalia hiyo sheria inasemaje na hii 1+1=1 ikoje katika sheria ya base ten mathematics. Mchezo unakuwa umeisha.
Chief unapenda sana kuzunguka, sasa sijui hili linachangiwa na uoga ulio nao au vipi ? (Utatupa jibu ukipenda).Unaelewa kwamba kuna kuelewa kukosea na hapo neno kuelewa linaambatana na kukosea?
Haliwezi kuambatana sababu ukiyaambatanisha hayaleti maana, na sisi Waswahili hatuyaambatanishi maneno haya.Kwa nini neno "unaelewa" lisiweze kuambatana na neno "kukosea"?
Mantiki ilikuja baada ya mjengeko wa maneno na kuleta maana. Hii ni fani tu ikiyowekewa misingi kwa kufata mawazo ya watu, kwahiyo si hoja katika hili na unaweza usiijue elimu hii na ukajenga hoja na kueleweka vyema, kama ilivyo ya kuwa si lazima uwe Mwanafalsafa au usomee Falsafa ndiyo uwe hodari katika kujenga hoja.Unashindwa hata ku define mantiki, sitegemei uweze kufikiri na kujenga hoja kwa mantiki.
Haya maneno hayapingani, kama hoja yako ni hii. Bali unaweza kukosea hata ukiwa umeelewa jambo.Umekubali mambo mawili yanayopingana kuhusu mantiki.
Sasa huu ndiyo usahihi wa mambo na ni majibi dhidi yako ya kuwa maneno hayo ukiyaweka kwa kufuatana moja likafata lingine halileti maana isipokuwa mpaka pale utakapo yaleta maneno baina ya maneno haya.Pia, unakataa kwamba hakuna kuelewa kwamba hapa nimekosea?
Hujawahi kuelewa kwamba umekosea?
Hakuna mantiki yoyote kwa maana ya mantiki kama maana sababu 1+1=1 hili si kweli.Nikisema na kufundisha kwamba 1+1 = 1 katika base ten mathematics, kusema kwangu na kufundisha hivyo kuna mantiki?
Kwasababu mitume mingi ilipita kabla ya Muhammad..Kama Nabii Musa,,Nabii Yusuph, nabii ISSA bin maryum.Kwasababu hakuwepo kabla ya Muhammad... Au una ushahidi alikuwepo before Muhammad?
Naona kuna kosa la kimantiki hapa, ingetosha tu kuandika "Hujajibu nilichouliza" kwani kuandika "Hujajibi nilichouliza na ulichojibu sijauliza" ni kitu kimoja,inaonekana Elimu ya Logic uliyo isoma haijakusaidia. Unapoteza muda kurudia jambo moja.Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijauliza.
Hakina mantiki.Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijauliza.
Nikisema na kufundisha 1 + 1= 1 , katika base ten math, hicho nilichosema na kufundiaha kina mantiki?
hiyo mitume+allah ni stori za muhamad na kitabu chake cha quran,,,Kwasababu mitume mingi ilipita kabla ya Muhammad..Kama Nabii Musa,,Nabii Yusuph, nabii ISSA bin maryum.
Hao wote waliwaambia Watu kuhusu Mungu..
Vipi mtume Muhammad (S.a.w) awe amemuumba Mungu?..