Nani aliyemuumba Mungu?

Kuna juha mmoja huko anatamani kusema allah ndio alimuumba mungu
 
Mungu haja zaa wala haja zaliwa kwnye kitab kitakatf anasema
 
Kwanz kabla ya kujiuliza hilo swali jiulize wewe unamjua Mungu au ndio unamsikia tuu
 
Sidhani kama ni jibu la swali
 
Mungu ni halisi na si falsafa. The latter is just a human invention. Kuna mtu mmoja aliwahi kujiwa na Malaika wa Bwana na akaambiwa kuwa atamzaa mtoto Samson, mnadhiri wa Mungu. Mtu huyu akataka kujua jina la mtu aliyekuwa anampa maelekezo haya na badala ya swali lake kujibiwa, akajibiwa kwa jibu swali: "why do you want to know my name? It is beyond understanding." Naipenda sana hii statement, na kwa lugha hiyo!
 
Tueleze Mungu ni nini na thibitisha Mungu yupo kweli.
 
Tueleze Mungu ni nini na thibitisha Mungu yupo kweli.
Rekebisha swali lako kwanza, sababu dhamiri ya swali "nini" haikai katika Jina au Sifa ya chenye Elimu.

Kwahiyo ukirekebisha swali, nitakujibu kwa swali lilo sahihi.

Nipo ...
 
Kwanza ulithibitisha ya kuwa huyo aliyemtokea ni Malaika ?

Habari hizi tunazipata katika kitabu gani ?
 
Rekebisha swali lako kwanza, sababu dhamiri ya swali "nini" haikai katika Jina au Sifa ya chenye Elimu.

Kwahiyo ukirekebisha swali, nitakujibu kwa swali lilo sahihi.

Nipo ...
Sijakuelewa unapoandika "dhamira ya swali "nini" haikai katika Jina au Sifa ya chenye Elimu.

Swali lina dhamira au anayeuliza swali ndiye ana dhamira?

Rekebisha kunitaka nirekebishe swali!
 
Kuhusu swali hili: Mungu ni nini? Mungu ni uwepo wa hali ya juu yenye akili.
Kumbe, uwepo wa hali ya juu yenye akili ndiyo huitwa Mungu.
Umejibu sehemu moja ya swali, nyingine umeiruka.

Kwa nini?

Thibitisha Mungu yupo.

Akili ni nini?

Mtawala anayeweza kuwatawala watu milioni sitini na kuwatuliza kwa kuua wengi ana akili kwa sababu kaweza kuwatawala? Au hana akili kwa sababu anawaua raia wake?
 
Kwa sababu ninataka utafakari kutoka na jibu la swali la kwanza.
Jibu lako lina assumption zaidi ya fact.

Thibitisha Mungu yupo.

Akili ni nini?

Mtawala anayeweza kuwatawala watu milioni sitini na kuwatuliza kwa kuua wengi ana akili kwa sababu kaweza kuwatawala? Au hana akili kwa sababu anawaua raia wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…