Nani aliyemuumba Mungu?

Lina maana gani
Ibada kilugha ni maombi,na kuabudu ni kuomba kwa kufata utaratibu wa kiimani husika na maombi hayo yanafungamana na imani na kutarajia kupewa kile unachokiomba, sio uombe peni, sababu hili hata mwanadu mwenzako ukimuomba anakupa, ushawahi kumuomba Messi uhai akakupa au rizki akakupa ? Sasa acheni utoto.
 
Mwenye usafi = msafi
Mwenye upendo = anapenda
 
Kwanza sio kila dini inaamini Mungu wengi wanaamini miungu mingi.

Nithibitishe kwamba hiyo yote ni miungu ili ndio niweze kuchagua.
Uthibitisho uko hapo hapo, uthibitisho utaupata baada ya kuona jina la mungu ambaye wewe unamuabudu ndio utagundua kua hata hiyo mingine iliyobaki ni kundi moja na wako

Kama wewe unasema hiyo sio miungu basi tuthibitishie hapa kwamba hiyo sio miungu na utuwekee yako ambayo wewe uaniamini

Chagua wako hiyo mingine iache watakuja wenye nayo kuichagua na kuitolea maana
 
Nimeshakujibu hilo swali kwa quote nyingine ya aya zako mbili za juu, bila kujumuisha hiyo list.

Ongeza umakini kijana, au husomi naxhokiandika nini, nimeshakujibu hili swali kwamba wengi siwajui humo.
Umelijibu vipi?
 
Mwalimu,sidhani kama kuabudu ni kuomba kwa kufata utaratibubwa kiimani labda kama hiyo ni maana yako personalkwa maana hizo,mimi humuabudu messi
 
Ushawahi kumsikia mswahili akiongea hivi ulivyo andika ?




Mwenemye upendo hili halina shida, sababu tumewasikia na tunawasikia waswahili wakisema hivi kila siku.
Unahakika gani kama uliyemkoti siyo mswahili?
 
Hiyo habari ya kufunika kombe inafanya kazi kwa opponent uliyefinga naye utani

Cha msingi watu wanatakiwa wajue kua kauli hiyo uliitoa sasa hizi ngonjera za vikombe si mahali pake hapa
 
Unaweza kuweka jina la kiume katika list ya majina ya kike ila haifanyi kuwa hilo jina la kiume kuwa la kike au hayo majina ya kike kuwa ya kiume, umeweka list ya majina na kusema yote ni miungu hivyo nachotaka mie uthibitishe kuwa hiyo list ni miungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…