Nani aliyemuumba Mungu?

Hapa vhini ni list ya miungu, kumbuka hiyo miungu inawakilishwa na dini yake ambayo hiyo dini huamini mungu wanayemuabudu ndio wa kweli na ni muumbaji

Nataka uniambie kwenye hii list hii miungu unaijua?
Thibitisha kauli hii.

Siijui.
 
Nithibitishe kwanza uungu wao kisha ndio nijichagulie wangu na mie.
 
Nithibitishe kwanza uungu wao kisha ndio nijichagulie wangu na mie.
 
Haliwezi kua swala lingine kwasababu lipo ndani ya mjadala na hilo ndio limebeba keyword ya hoja yako kwaiyo we lijibu tu.
Nilitaka nisikujibu hili, sababu umeandika ujinga mpaka nikapa uvivu wa kukujibu, ila sababu unajifaragua, ngoja niendelee.

Ulipo leta jambo kama hilo kama swali nilikujibu, japo lilikuwa ni suala lingine. Kwahiyo ongeza umakini uache kurudia rudia mambo yaliyo jibiwa.
ako baada ya kushindwa kuielewa hoja yangu. Na mimi ndio niliyetoa hoja naelewa shabaha yake kwaiyo kila step nayo tembea ishakua calculated.
Kauli yako iko wazi sana na inathibitisha au imethibitisha yafuatayo kubusu wewe :
1. Huna ushahidi wa kuonyesha Mola hayupo.
2. Humjui unae mkanusha
3. Unaandika uongo, kwamba umethibitisha hali ya kuwa unakubalo ya kuwa "Kisichopo hakithibitishiki".
Na probably jambo hilo kwao ni lakufikirika tu waishajiapiza kua mambo hayo hayawezekani kufanyika kwa akili za kiutu
Haliwezi kuwa la kufirika, sababu hawakuwahi kufikiri hivyo ndiyo maana wakashangaa na kuhisi haliwezekani, kwahiyo hawa wanaingia katika kundi la kutokujua.
Akili ya mwanadamu ndio nini au umekusudia akili ya mtu?

Kama ni akili ya mtu we umeingia kwenye kichwa changu umeona kua siwezi?

Akili yako hapo ndio yenye tatizo kwanini usianze kujitafakari wewe kwa kuichunguza akili yako kwanza?
Nakupa kazi ndogo sana, nipe tofauti ksti ya mtu na mwanadamu/Mwana Adamu/Mwana wa Adamu. Yaani nithibitishie ya kuwa mtu sio mwanadamu.
Kauli ya kifalsafa ndio kitu gani?

Na umetumia nini kujua hilo?
Kauli ambazo zimejengeka katika dhana na haziwezi kuthibitishwa kisayansi, mfano wa kauli hizo ni hiyo, na kauli kama "Dunia inazunguka jua" na mfano wake

Nimejua sababu zinapingana na uhalisia/ukweli.
Kutokujua kitu hakuna relation yeyote na uhalisia kwamba
Nilikwambia huko juu, lipo jambo ambalo halina kinyume chake, na nikasema Mola wangu ni wa kweli,huwezi kumzungumzia kama humjui, ila kwa wale ambao waongo sio lazima uwajue ndio uwakosoe, kisha nikasema kama unabisha weka hoja zao na zangu uone shughuli yake.
Nimekuwekea list ya miungu hapo juu niambie unawajua?
Siwajui ila wachache, na kuna wengine wamewekwa kinyume na wahusika wanavyo wachukulia, mathalani "al Lat" na "al Uza" yale yalikuwa masamu yaliyo chongwa kwa ajili ya kuwaenzi waja wema walio pay ta wenye majina hayo, mwisho wa siku wakaaza kuyaabudu na kuwasema wale watu ni watoto wa Mungu. Lakini list yako una dai kwamba hao ni miungu, mnatakiwa mpigwe makofi nyinyi.
Unaweza kunielezea mmoja baada ya mwingine from the top to the bottom?
Siwezi ila wewe ulie tuwekea hii list weka hoja kuhusu wao kisha mimi nazibatilisha kwa elimu na ubainifu.
Kulingana na madai yako je Ukishindwa kuwajua au kuwaelezea hao miungu je hiyo itatoa jibu?
Miungu kuweza au kushindwa hakubadilishi uongo juu yao.

Naendelea ....
 

Mkuu si useme tu umeshindwa kuthibitisha mungu yupo mbona unazunguka sana usione aibu wewe sio wa kwanza wala hutokuwa wa mwisho
 
Kutangulia au kutotangulia who cares?
Wewe ndio hujali sababu hujui umuhimu wa elimu, ila kwa watu wa elimu na kutafuta ukweli na kuweka kila kitu mahala pake, hili huzingatiwa sana.
Jibu lako baada ya kuthibitisha ndio litatupa hitimisho kua kitu hicho kilikua halafu kikasepa au hakikuwahi kuwepo.
Sio kweli sababu uongo wa jambo hujulikana mwanzo kabisa. Naona unaandika bila kutafakari.

Toa mfano wa hili.
Sasa kwa mujibu wa hoja yako ni kwamba uthibitisho wa kuonesha mungu hayupo humu haupo. Sasa tuambie uthibitisho huo unafit vipi hapo kwa mujibu wa hoja yako hiyo?
Sasa unafit vipi wakati haupo kijana ? Wewe uweke humu kisha niuweke mahala pake. Unakimbia jukumu lako ?
Hazijakata kiu ya swala, leta zingine
Zisome tena na tena nikiona haja ya kuziweka nitaziweka.
Mbona nimeambatanisha hizo njia kwenye uthibitisho niliokupa kuhusu kutokuwepo kwa mungu?

Labda nikuulize wewe umetumia vigezo gani kutafiti hadi kuhitimisha hakuna uthibitisho wa kuonesha mungu hayupo hum
Tuonyeshe hizo njia ulizoziweka,ndio maana nasema hivi kujadiliana na wewe, ni kupoteza muda sababu kila siku unazunguka humu humu, na huna hoja zaidi ya kupotezea watu muda. Jipange upya uje na hoja, ili ujitoe katika hiki kitanzi cha shaba.

Hili halihitaji utafiti na sababu nimeziweka humu ikiwemo ya kauli yako ya kukiri ya kuwa kisichopo hakithibitishiki. Halafu jaribu kuuliza maswali ya kikubwa siyo ya kitoto, ambayo pia majibu yake yamo humu, yaani unarudia rudia tu.

Naendelea .....
 
Mimi njiannilizotumia nishakueleza zinapatikana katika post ambayo nimekuthibitishia mungu hayupo
Safi kabisa, post namba ngapi ? Ukiweka namba ya post naacha kutumia huu mtandao wa "jf" au nawaomba "mods" waufute huu uzi. Sisi tuko "serious" wewe unaleta maigizo,mzaha na utoto mwingi.
Hilo swali limekugeukia wewe, maana ulishadai kua hakuna uthibitisho niliouweka. Na shwria inasema hupaswi kusema kitu fulani hakipo bila kuweka uthibitisho
Unakubali kama hii "kisichopo hakithibitishiki" ni kauli yako ?

Hii sheria mbona huifanyii kazi kijana? Maana iko dhidi yako na hili liko wazi kabisa. Au huko humu kwa ajili ya kujifurahisha nini ?
Unafikiri hakuna haja ya mimi kukuuliza wewe ulitumia njia gani kujua hakuna uthibitisho kuonesha hakuna mungu?
Miongoni mwa njia hizo ni kukuhoji na wewe ukakiri.

Nimemaliza, nimekuonyesha ya kuwa niliacha kukujinu sababu nilio huna hoja na huna kipya zaidi ya kurudia rudia maneno.
 
Mkuu si useme tu umeshindwa kuthibitisha mungu yupo mbona unazunguka sana usione aibu wewe sio wa kwanza wala hutokuwa wa mwisho
Sasa nione aibu ya nini? Tatizo lenu mnajifariji kwamba hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu na kujiona mpo sahihi kudai kuwa hakuna Mungu, ila mie nakuelezea nafani ya imani na nafasi ya uthibitisho.

Kwahiyo si kwamba naogopa kusema nimeshindwa kuthibitisha bali hiyo kauli italeta tafsiri ya kwamba suala la Mungu ni kitu kilichozushwa na kushindwa kuthibitisha.
 
Kila mtu ana maana yake ya kumuita mungu...mimi messi namuita mungu kwasababu hamna anaemzidi mpira ila haimaanishi kila mtu anayejua mpira ni mungu...so swali lako liwe specufic mungu gani unataka nikuambie kwanini aliitwa mungu.

Chagua yeyote kwenye list aliyotuma Scars
 
Wewe si ndio umeniwekea list ya miungu kunijuza kuwa kuna miungu mingi na si mmoja tu! Kwahiyo kama mie nashikilia hoja Mungu mmoja wewe mwenzangu una list ya mamia ya miungu, ndio nakuuliza unakubali kuwa hiyo yote ni miungu na ipo kweli?
Kila dini inashikilia usemi huo kua kuna mungu mmoja, mungu unayemuabudu wewe naye hujumuishwa kwenye kundi la miungu katika dini nyingine.

Kwaiyo hii mbinu yako ya kukwepa swali kusema miungu haitakusaidia.

Katika hiyo list mungu wako unayedau ni mmoja hapo hayupo?
 
Hii achana nayo niliijibu tena upya.
Nimekuambia ulichokiandika sijakielewa ndo maana nasisitiza swali hili kwa mara nyingine

Hiyo list ya miungu niliyokupa unaijua miungu hiyo?
 
Ajabu sasa nilitaka niiguse kila neno, nikaona napoteza, hasa nilipo ona unajichanganya kwa kudai umethibitisha kutokuwepo kwa Mola, ajabu ulikiri ya kuwa kisichopo hakipo. Nacheka sana.
Unajicheka ujinga?

Mbona huandiki hapa kwamba nilishakuthibitishia kua mungu hayupo na ukakiri kua umethibitishiwa?
 
Nimekuambia ulichokiandika sijakielewa ndo maana nasisitiza swali hili kwa mara nyingine

Hiyo list ya miungu niliyokupa unaijua miungu hiyo?
Nimeshakujibu hilo swali kwa quote nyingine ya aya zako mbili za juu, bila kujumuisha hiyo list.

Ongeza umakini kijana, au husomi naxhokiandika nini, nimeshakujibu hili swali kwamba wengi siwajui humo.
 
Unajicheka ujinga?

Mbona huandiki hapa kwamba nilishakuthibitishia kua mungu hayupo na ukakiri kua umethibitishiwa?
Hivi inakuwaje unapoteza muda kwa jambo ambalo nimeshalifafanua zaidi ya mara mbili, ndio maana nasema hivi wewe hapa upo kwa kujifurahisha na kupotezea watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…