Nani aliyemtengeneza, (sio aliyemuumba), aliyeteneneza gari?The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).
Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.
Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.
Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.
Ahsante.
Jurjani (Zurri)
badala ujibu kwa hoja, unaanza mipasho. dah tuna safari ndefu sana hata kujieleza ni shidaThe most ridiculous question you ever asked.
Halafu kuna dini ya Budha ambayo haiamini kuwa kuna MunguIn Greek mythology there are many gods. They are born but immortal. Which God are you talking here. A Muslim God (Allah) or Christian God (Jesus)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.
Hiyo ni lugha ya matusi unaposema kila anayehoji; "Mungu kaumbwa na nani" ni; ignorant, unintellectual, a lying deceiver, a sophist.
Huyo aliyeandika hayo ndiye ignorant na sophist, kwani ni nani mwenye "dynamic mind" hata siku moja asikae na kutafakari; Mungu alitokea wapi??!!--- bila shaka hata yeye mwenyewe amepata kuhoji hilo swali ndipo akaja na jibu kwamba Mungu ni eternal na akaweza kunukuu hiyo aya ya Qur'an, bila ya hiyo aya si bado angekuwa katika ujinga wa kutojua jibu la vipi Mungu aliumbwa au hajaumbwa.
Huyo jamaa kaandika nonsensical.
Warumi 11The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).
Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.
Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.
Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.
Ahsante.
Jurjani (Zurri)
Hilo swali achana nalo, ishia hapo hapo.The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).
Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.
Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.
Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.
Ahsante.
Jurjani (Zurri)
Akili yako iko sawa kweli, kwa hiyo wewe unafuata dhana za watu au unaelewa mwenyewe?Any premise that argues God exist is illogical.Then, all other premises about God are illogical too.
Though God exists.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa mistari kisha naichambua kwa akili yangu mwenyewe kupata kitu cha ukweli.Akili yako iko sawa kweli, kwa hiyo wewe unafuata dhana za watu au unaelewa mwenyewe?
Kwasababu hakuwepo kabla ya Muhammad... Au una ushahidi alikuwepo before Muhammad?