1.Waasisi wa chaso vyuoni ni juliana shonza, mtela mwampamba na joseph ludovick, na hawa wote wametoswa chadema, make your own mind
2. Ubaguzi mkubwa unaoendelea ndani ya chadema, kuna baadhi ya watu ni wapenzi wa viongozi ie wanapendwa wakati wengine hawapendwi. Mf rejea maelezo na tuhuma za makam mwenyekiti wa bavicha juliana shonza kwa viongozi wa juu wa chadema baada ya kufukuzwa uongozi bavicha.
3. Matumizi mabaya ya resources za bavicha ambapo wachche wamezihodhi
4.kuishiwa mbinu mpya viongozi wa chadema waliopo madarakani
5.viongozi wa chadema waliopo madarakani kupoteza mvuto na ushawishi
6.kukumbatia uhafidhina
7.siasa za utapeli na ulaghsi na vurugu mf. Chaso udom mwaka jana waliandamanishwa hadi bungeni, mambo yalipowawia ugumu, viongozi wa chadema waliokuwa wanawahamasisha kugoma wakazima simu na kupoteza mawasiliano na chaso udom, vijanabwakafukuzwa masomo
Thibitisha kama wanogombea wana afliation na vya vya siasa tufukuze maana by law ya udsm inasema hivyo
Mkuu, na wewe unachangia mada ya vyuo vya elimu ya juu? Kwani unajuaje kinachoendelea huku?Chadema msitafute mchawi waliyeiua Chadema UDSM ni viongozi wa Chadema, ...
akili za ki-uvccm na ki-bavicha ni majanga kwa taifa hili. period.
Huelewi hata umeandika nini nadhani watu aina yako ni tatizo kubwa linalolikabili taifa jika uchao mnaimba nyimbo na mapambio kwa madisadi wanaoliangamiza taifa,ubaguzi tu ndo unayo uwa chama mtu mwenye akili timamu hawezi shabikia chadema vigeugeu waroho wa madaraka viongozi wao wana uwezo mdogo wa kifikiria na hisi kufukuzwa kwa dr mkumbo ndo mwisho wa siasa za cdm
Paulo Mkk****nda ni mmoja waliouiua CHADEMA pale UDSM.
Dogo jinga!
Paulo Mkk****nda ni mmoja waliouiua CHADEMA pale UDSM.
Dogo jinga!
chuoni ni sehemu ya kufanya siasa na kujinza nimekuambia wewe huelewi unachoongea
Ikiwa Kitaifa inaelekea kuzimu unategemea nini vyuoni?
Hivi unamjuwa Kinana au unamsikia tu?