Nani Alisema Tule mara Tatu(3) Kwa Siku?

Nani Alisema Tule mara Tatu(3) Kwa Siku?

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,674
Reaction score
2,216
Tangu utoto mpaka sasa ni mtu mzima kutwa mara tatu Hii ilianzia wapi, Nani alianzisha Je nikila mara 2 au 1 kwa siku au nikiamua kula mara 5 kuna madhara bila kukariri chakula ni wali au Ugali n.k...Na ni Wazungu walituletea hii itakuwa ni kututia umaskini tu na Maradhi mbona wao hawakuli kama Hivi.
 
Tangu Utoto mpaka sasa ni Mtu mzima Kutwa mara Tatu Hii ilianzia wapi,Nani alianzisha Je nikila mara 2 au 1 kwa Siku au nikiamua kula mara 5 kuna madhara bila kukariri Chakula ni wali au Ugali n.k...Na ni Wazungu walituletea hii itakuwa ni Kututia Umaskini tu na Maradhi mbona wao hawakuli kama Hivi.
Tule Mara 3 kwani sisi wanawake
 
Nahisi kula mara tatu kulianzia ulaya wakati was industrialization era. Ilikaa kibiashara zaidi kuliko kiafya mtu unaweza survive Kwa mlo mmoja kamili kwa siku bila matatizo yoyote unless kama unafanya kazi ngumu sio mbaya ukiongeza. Na katika Milo isiokua ya muhimu kabisa ni Asubuhi Kwa maoni yangu lakini
 
Tunakula mara 3 kwa sababu tukiamka asubuhi tunakua na njaa hivyo hulazimika kula na ikifika mchana hupata njaa tena hivyo hulazimika na usiku vivyo hivyo.

Kitaalam vyakula vingi hukaa tumboni masaa matatu hadi manne ayah gawanya kwa siku nzima unapata milo mingapi?

Kiufupi we tafuta hela chakula hakijawahi kuwa sababu ya umaskini if you know you know.
 
ukigawanya unapata Milo 6
 
Back
Top Bottom