Nani alisema kazi ya kukata na kupaka rangi kucha wanawake wafanye wanaume?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Sijawahi kuona wanawake au mabinti wakifanya hii kazi ya kukata na kupaka ranga wanawake salun

Hivi hii kazi nayo ni ngumu ya kiume kama kubeba zege kuwa wanawake hawawezi kufanya, kukatana kucha na kupakana rangi

Yaani unakuta kijana mbavu kifua kikubwa eti anazurula na kapu lenye nail cutter, dodoki, msasa na rangi

Naona vijana Sasa mmenogewa kushika mapaja ya wake zetu na kuwatia nyege tuwapo kazini

Au mnapenda sana kuwachungulia chupi ?

Au mnafurahia kuchungulia vipochi manyoya vya wake zetu maana wengine hawavai chupi sababu ya joto?

Vijana hamjaona kazi za kufanya hadi mchague hii kazi ya kihuni

Ipo siku nitamfanya Yale ya Pdidy kijana nitayemkuta anawekewa miguu kwenye mapaja yake ati anamkata kucha

Na iwe kwenu

Kama asemavyo Sugu
 
Kama asemavyo Sugu .............
Mwanaume hachagui kazi, au unawaonea wivu?

Awkward Kid GIF.gif
 
Sijawahi kuona wanawake au mabinti wakifanya hii kazi ya kukata na kupaka ranga wanawake salun

Hivi hii kazi nayo ni ngumu ya kiume kama kubeba zege kuwa wanawake hawawezi kufanya, kukatana kucha na kupakana rangi

Yaani unakuta kijana mbavu kifua kikubwa eti anazurula na kapu lenye nail cutter, dodoki, msasa na rangi

Naona vijana Sasa mmenogewa kushika mapaja ya wake zetu na kuwatia nyege tuwapo kazini

Au mnapenda sana kuwachungulia chupi ?

Au mnafurahia kuchungulia vipochi manyoya vya wake zetu maana wengine hawavai chupi sababu ya joto?

Vijana hamjaona kazi za kufanya hadi mchague hii kazi ya kihuni

Ipo siku nitamfanya Yale ya Pdidy kijana nitayemkuta anawekewa miguu kwenye mapaja yake ati anamkata kucha

Na iwe kwenu

Kama asemavyo Sugu
Uvivu wa kulima.
 
washakukazia mkeo nini? Pole mkuu
 
Back
Top Bottom