Nani Alikupokea JamiiForums siku Ya kwanza

Nani Alikupokea JamiiForums siku Ya kwanza

ilikuona unasema shigongo na mange imefungwa topic,Shigongo ni tapeli mkubwa sana alimcall mr na allegations za ovyo eti anapicha zake za utupu waonane kabla hajazitoa,mr akasema mie npo china nkirudi nitakutafuta.Akarudi akataka kumtafuta nikamuambia mpigie simu likaanza ooo muheshimiwa kuna picha zako umepiga utupu dodoma hotel zimetufikia sasa tumeona tukuambie kabla hajizatoka, mr akamuambia mie unanijua mtu mkubwa sana siwezi kupiga picha za utupu wala mtu hawezi kunipiga picha hizo,sasa sina muda wa kuonana na nyie nachoweza kusema ole wako nchafuke na magazeti yako mie pia ni mwanasheria mkubwa sana tutapambana.Since that day he didnt call up again

santeeeee
cc watu8 kwa taarifa
Bcc Bishanga kwa ONYO!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kweli wote wasio kaguliwa waludi"utambulisho kukaguliwa"wasije ingia na mabomu
 
Huu ni utaratibu!
Baada ya kugundua kuwa hujakaguliwa, nimeanza taratibu za kutangaza ndoa yako na Erickb52 kuwa ni null and void hadi nikukague!
Hahahahaha yani unataka unikague..nini waswas na wewe!


CC: Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom