Nani Alikupokea JamiiForums siku Ya kwanza

Nani Alikupokea JamiiForums siku Ya kwanza

Basi taja uliowapokea tujue uliwakagua vizuri?au ulifanya kama Mwalimu Nyerere International airport,ulimtoa mtu katika Skan,alafu ukakaa wewe,ukawapitisha bila kukagua
Kaka waliofuata sikuwakagua,nilizuga mimi kwenye scan na wao waende zao.
Nalog off
 
Back
Top Bottom