englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Jomo Kenyatta alikuwa ni mtu mzima sana alipomuoa Mama Ngina....yani hawa kina uhuru ni vitoto vya uzeeni. Yasemekana wake wengine from his previous marriages ni wakubwa kiasi cha kuweza kumzaa UhuruKumbe mshkj ni motto wa uzeeni!
Usishangae Jaluo kuiongoza USA ni uwezo wa M/Mungu na ndie aliejua kiumbe wake atakua Raisi