Nani aliita SIMU 2000 pale Mawasiliano?

Nani aliita SIMU 2000 pale Mawasiliano?

Daladala zingeandikwa tu Ubungo, kama ilivyokuwa mwanzo
Kuandika simu 2000 inaleta ukakasi.
 
Mm nlimuuliza konda mmoja WHY SIMU200 akanambia vibaka wa pale hata uwe na 2k wanakuuzia simu! Though nlikosa ushahidi hiyo simu ya 2k ikoje!
 
Mm nlimuuliza konda mmoja WHY SIMU200 akanambia vibaka wa pale hata uwe na 2k wanakuuzia simu! Though nlikosa ushahidi hiyo simu ya 2k ikoje!
Post namba 2, ameeleza/amejibu ukweli.
 
Lile ni eneo ambalo vibaka wa Ubungo Darajani na ubungo mataa walikuwa wanajificha...Siku polisi wameenda kupiga msako wakakuta simu ndani ya vichaka,baada ya kuhesabu zikawa simu 2000 ikiwemo ya Kamanda Tibaigana aliyoibiwa akiwa kwenye foleni ya kusubiri mataa ya Ubungo,toka hapo pakaitwa Simu 2000
😃😃😃😃😃 chai hii
 
Back
Top Bottom