Nani aliidangaya CHADEMA?

Nani aliidangaya CHADEMA?

Kamwe hukuwahi kuipenda na kuiunga CHADEMA ilipokuwa ikiibua hoja za ufisadi; iweje uipende na kuionea huruma ghafla leo inapopambana kuleta mabadiliko tuyatakayo nje ya ccm..??
 
Hapa kazi tu..watu wakura ikulu mwisho unefika..viva magufuli

Hapa kazi tu wakati si ajabu wewe huna kazi...!! Kumbuka kwa hisani ya ccm zaidi ya 80% ya wenye uwezo wa kufanya kazi cnhini Tanzania ni jobless!!
 
Naiunga Mkono Makala Kwa 100%.Mimi Natamka Wazi Kuwa Lowassa Ni Fisadi Na Hafai Kwenda Ikulu.Mimi Binafsi Yangu Nimeshaamua Kura Yangu Kwa Magufuli.Tunataka Raisi Mchapakazi Sio Mchezadili
#hapakazitu
 
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa hata akiwa nje ya CCM. Hafai kuwa Rais wa Tanzania.

Kura yangu itaenda kwa wabunge wa upinzani ili kuliweka bunge katika hali ya usawa(balanced) ili lifanye kazi sahihi ya kutunga sheria na kuisimamia serikali ya Magufuli na siyo kuwa rubber stamp ya serikali.

I can’t let my beautiful country go to the dogs.

I can't let my country, Tanzania, be under the rule of the beasts (ccm).

Vote for UKAWA; vote for Lowassa.
 
Matatizo yote hayo chanzo nikuwa Na mwenyekiti mungumtu Na wafuasi nyumbu, Hawa watu hovyohovyo
Mbowe amewauzia wanaCHADEMA/UKAWA mbuzi kwenye gunia!

Kwa sasa anataka pia kuwauzia Watanzania wote mbuzi wake aliyeko kwenye gunia.

Thanks God, Watanzania wameshtuka!

Hawadanganyiki!
 
Einstein alishasema siasa ni ngumu kuliko Physics so ni ujinga kwa chama cha siasa kuongozwa na aliyetaga HKL huku akishauriwa na watu wa aina hiyo hiyo.

Wanaojielewa wote wamenyea kambi na vijana walio-sacrifice maisha, muda na rasilimali zao kujenga chama wamefanyiwa mizengwe.

Baada ya 25th October hiki chama kitakuwa ni history kama NCCR ya Mrema.
 
kinachokupa jeuri ya kuandika hivi ni hizo tafiti uchwara. Ila usisahau goodluck jonathan tafiti zilimpa 70%

jonathan na edo kwa upande mmoja na wanigeria na watz kwa upande mwingine ni vitu v2 tofauti
 
mbowe kasema walifanya utafiti na kujiridhisha ushindi wa lowasa kabla ya kumchukua. Utafiti huo ulifanywa na nani, na matokeo ya utafiti wenyewe hakuna anayejua mbali ya lowasa na mbowe mwenyewe.

Hivi bado unaamini kauli za Mbowe?

Mbowe ni msanii na mfanyabiashara wa kisiasa.

Mbowe ananufaika katika biashara ya kisiasa kwa kutumia ujinga na upumbavu wa wanaojiita wanaCHADEMA na pia baadhi ya wananchi wengine.

He's making money!
 
Hivi bado unaamini kauli za Mbowe?

Mbowe ni msanii na mfanyabiashara wa kisiasa.

Mbowe ananufaika katika biashara ya kisiasa kwa kutumia ujinga na upumbavu wa wanaojiita wanaCHADEMA na pia baadhi ya wananchi wengine.

He's making money!
Sina imani naye hata kidogo, ndiyo maana nikasema hata hicho anachosema walifanya utafiti kabla ya kumchukua lowasa ameshindwa kukitoa wanachama tukione. Salama ya chadema ni huyu na kamati kuu kujiweka pembeni baada ya fisadi lao kupigwa chini 25/10.

Hawahawa waliotuambia zitto na act wanafadhiliwa na lowasa, wakatuwekea email za zitto na mwigulu kuomba fedha kwa lowasa wanatuambia leo lowasa ni malaika. waombe radhi kwa waliowachafua kama waliyotueleza hayakuwa na ukweli.
 
Nilichogundua watanzani wengi wanachukulia mabadiliko na maendeleo ya nchi kwa ushabiki na hii ndio maana baadhi ya

wanasiasa wanatake advantage kwa kuwageuza wananchi kama chapati.
 
Back
Top Bottom