Nani aliidangaya CHADEMA?

Nani aliidangaya CHADEMA?

Poll ya Twaweza ya mwaka jana iliyopokelewa vyema ila ilizua malalamiko kutoka kwa Dr Slaa. Au umesahau? Hebu Google.

sina haja ya Google, based on twaweza report ya juzi, ccm wamekua ahead kwa almost the same percentage since 2012, unless kuna report nyingine tofauti (% ya chadema had the highest ya 32% and lowest ya 25%)
 
Pesa ndiyo iliyoidanganya Chadema kuitosa hiyo ajenda ya ufisadi. Toka mwanzo tulikuwa tunawaambia Chadema imeanzishwa na matajiri wa kichaga na ndio wenye maamuzi ya mwisho. Hawa walikuwa na ajenda ya ufisadi kwenye ndimi zao ili kuwalaghai watu lakini ndani ya mioyo yao waliutamani ufisadi ili kupata utajiri. Ole wenu watanzania na hiiki chama
 
Afadhali fisadi moja lilikuja Ukawa kuliko Mgombea wenu mnayedhani msafi anawanadi mafisadi wengi eti wasafi, Mfano akina Anna Tibaijuka na Chenge, Niaaibu sana,Toa kwanza boliti ndani ya jicho lako ndipo kibanzi kwa jirani,Ccm ni janga usiudanganye umma jamaa yangu,Hayo ni baadhi kunauchafu mwingi hatujauweka hapa, We know a lot!
Mmeshaliwa, hamna cha kuweka tena. Subirini Novemba mtoane macho.
 
tatizo watz tuna iq ndogo sana, all in all kampigie kura umpendae ili ujute miaka 5
 
Kinachokupa jeuri ya kuandika hivi ni hizo tafiti uchwara. Ila usisahau goodluck jonathan tafiti zilimpa 70%
Unaruhusiwa kwa fikra zako fupi kudhani Twaweza au Synovate ni utafiti uchwara. Hakuna ujeuri hapa bali ukweli.

Hiyo kampuni ya research iliyompa Goodluck Jonathan 70% ilikuwa haifahamiki kimataifa, kwa maana hiyo hata matokeo yake yalikuwa yanatia mashaka.

Angalia hii sehemu ya article ya matokeo ya makampuni yanayofahamika kimataifa ambayo matokeo ya kura yalishabihiana kwa karibu,
The poll conducted by the globally-renowned political risk research and consulting firm, Eurasia Group, Buhari emerged winner.

Philippe de Pontet, Practice head, Africa, of the group said Buhari got 60 percent of the poll and may likely win this week's presidential poll, while Jonathan got 40 percent.

Also, a recent poll conducted by renowned Center for Public Policy Alternatives, showed that Buhari will win the poll as he polled 58 percent as against 32 percent polled by Jonathan.

Buhari Leads Jonathan In Opinion Polls | P.M. NEWS Nigeria
 
Hao wanao andika andika tumagazeti uchwara ipo siku watakuja kulala na njaa.
 
Copy and paste👇👇

Viongozi wakuu wa umoja wa katiba ya wananachi UKAWA wakiongozwa na mwenyekiti wa chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA Mh FREMAN MBOWE pamoja na makamu mwenyekiti wa CHADEMA Profesa SAFARI na kaimu mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF ambaye pia ni mbunge wa bunge la Africa mashariki Mh TWALHA TASLIMA leo jioni wamehudhuria Baraza la kuu la idd lililoamndaliwa na Taasisi za kiislam Tanzania shughuli iliyofanyika katika hotel ya LAMADA Jijini Dar es salaam.

Katika shughuli hiyo ambayo iliambatana na dua mbalimbali pamoja na hotuba za viongozi mbalimbali pia walialikwa wagombea urais wa vyama vyote Tanzania lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kufika huku mgombea wa UKAWA akiwakilishwa na Mh FREMAN MBOWE.
Mh mbowe alipata nafasi ya kutoa Hotuba fupi ambayo iliwagusa mamia ya waislam ambao walikuwa katika shughuli hiyo na hapa nimekunukulia baadhi ya mambo ambayo mbowe aliyazungumza na kushtua wengi


1-Nashukuru sana kwa ukaribisho wa shughuli hi,mgombea wetu ndugu EDWARD LOWASA alitamani kuwa nasi jioni hii lakini kutokana na ratiba ya kampeni kubana imebidi aunganishe kwenda kwenye kampeni za kesho huko manyara--MH MBOWE

2-Swala la mashekh ambao wapo jela bila hukumu yoyote,tulisema siku ya ufunguzi wa kampeni na tunaendelea kusema kuwa tumewaagiza wanasheria wa chama chetu kufwatilia kwa makini na kuona nini hasa kimetokea kwao kama kuna mahali kunahitajika msaada wa kisheria tupo tayari kulishuhulikia hilo kwani sisi lengo letu ni kurudisha umoja na mshikamano Tanzania. --MH MBOWE

3-Zimebaki siku takribani 30 sasa kabla ya watanzania kufanya maamuzi halisi,ni muda wa maamuzi ndugu watanzania. --MH MBOWE

4-TANESCO imefilisika na watanzania wengi hawajui hili,sasa shirika la umeme halina hata sent na wameamua kufanya mgao wa kimya kimya lakini ukweli ni kwamba huu mgao ni mkubwa sana huko tuendako kwa sababu hawana hela na wanaficha ukweli,kuna mgao mkali sana sasa wa kimya kimya na utaendelea kuwa mkali kadiri siku zinavyokwenda. --MH MBOWE

5-Kuna wizi mkubwa sana wa mafuta Tanzania na kuna baadhi ya watu wakubwa wanauratibu wizi huo,Tanzania ina akiba ya mafuta hadi mwezi wa 11 lakini serikali imetoa hati ya kuingiza mafuta nchini ambapo baadhi ya wahusika ni familia ya Rais KIKWETE. --MH MBOWE

6-Serikali yetu ya awamu ya tano sio serikali ya visasi kama inavyodhaniwa,ila ni serikali ya kuwarudisha watanzania pamoja kwa maridhiano,na maelewano,ila kuna watu itabidi washughulikiwe kwa mijibu wa sheria kutokana na kuligharimu taifa hao tutafanya hivyo. --MH MBOWE

7-Tume ya uchaguzi ya miezi miwili iliyopita sio tume ya sasa,mwenyekiti yupo ila watendaji wengi wameondolewa bila sababu za msingi. --MH MBOWE

8-Mtendaji mmoja mkuu wa tume juzi tumepata taarifa kuwa ameondolewa na kupelekwa kusikojulikana na amerudhishwa na kutakiwa kukabidhi ofisi mara moja. --MH MBOWE

9-Tume ya sasa inaongozwa na wanajeshi na usalama wa taifa,mimi mbowe ndio nasema kama kuna mtu anabisha waje wanikamate leo,hatuwezi kuvumiliana kiasi hiki ni wakati wa kuwekana wazi ili watanzania wafanye jambo wanalolitaka. --MH MBOWE

10-Nasema hivi hatutakubai hujuma hizi ambazo zinaendelea sasa tutasema hadi mwisho. --MH MBOWE

11-Mwisho kabisa nasema hivi ni wajibu wetu kutafuta kura,kupiga kura na kulinda kura hivyo ndugu zangu waislam nawaomba tushirikiane katika hili,ASANTENI KWA KUNISIKILIZA--MH MBOWE
 
Matatizo yote hayo chanzo nikuwa Na mwenyekiti mungumtu Na wafuasi nyumbu, Hawa watu hovyohovyo
 
sina haja ya Google, based on twaweza report ya juzi, ccm wamekua ahead kwa almost the same percentage since 2012, unless kuna report nyingine tofauti (% ya chadema had the highest ya 32% and lowest ya 25%)

Kuwa Na lowassa cdm tegemeeni pigo la mbwa
 
Unaruhusiwa kwa fikra zako fupi kudhani Twaweza au Synovate ni utafiti uchwara. Hakuna ujeuri hapa bali ukweli.

Hiyo kampuni ya research iliyompa Goodluck Jonathan 70% ilikuwa haifahamiki kimataifa, kwa maana hiyo hata matokeo yake yalikuwa yanatia mashaka.

Angalia hii sehemu ya article ya matokeo ya makampuni yanayofahamika kimataifa ambayo matokeo ya kura yalishabihiana kwa karibu,
mbowe kasema walifanya utafiti na kujiridhisha ushindi wa lowasa kabla ya kumchukua. Utafiti huo ulifanywa na nani, na matokeo ya utafiti wenyewe hakuna anayejua mbali ya lowasa na mbowe mwenyewe.
 
Afadhali fisadi moja lilikuja Ukawa kuliko Mgombea wenu mnayedhani msafi anawanadi mafisadi wengi eti wasafi, Mfano akina Anna Tibaijuka na Chenge, Niaaibu sana,Toa kwanza boliti ndani ya jicho lako ndipo kibanzi kwa jirani,Ccm ni janga usiudanganye umma jamaa yangu,Hayo ni baadhi kunauchafu mwingi hatujauweka hapa, We know a lot!
Yaani unasema afadhari fisadi papa mmoja kwenda CHADEMA na kupewa nafasi ya kugombea Urais? Ama kweli upumbavu kwa sasa umekuwa ni werevu nchini!

By the way, Magufuli hajawanadi wale unaowaita mafisadi katika mikutano yake.
 
Tanzania tumebakia na waandishi wa habari makini wachache sana mmoja wao ni.

Johnson Mbwambo.
 
Huyu jamaa kabakia imara sana, inasikitisha sana Jenerali Ulimwengu yeye kubadili msimamo wake, ni aajabu kweli na inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom