Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,500
Kila mtu sasa anajua kile kinachooendelea, sio siri tena kwamba kuna kila juhudi za kuwapata wana-CDM wahamie CCM. Sio kificho tena kuwa juhudi hizo zinafanyika kwa siri na kwa uwazi. Katika tafakuri yangu nikajikuta najiuliza swali hi; JE NI NANI ALIHAMIA AU PENGINE ALIRUDI CCM AKAFANIKIWA? Mafanikio haya ni ya kisiasa na sio kiuchumi.
Nani ameweza kuwa mzalendo wa kweli CCM ambaye alitoka Upinzani? Kwahio, kwa vijana wenzangu wenye kutafuta future ya maisha yao ya baadae, nawashauri waangalie upepo unakoelekea. Ila kama una mtu unamfahamu alihama upinzani na kufanikiwa basi tumtaje hapa jukwaani. Atajwe kwa jina na wote tukubali, kama hakuna tujiulize mara mbili mbili na sio kuwashauri wenzetu wahame!!!
Usipindishe mjadala, tulia kwanza ntarudi kwako"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?
Wasira tokea NCCR-MageuziKila mtu sasa anajua kile kinachooendelea, sio siri tena kwamba kuna kila juhudi za kuwapata wana-CDM wahamie CCM. Sio kificho tena kuwa juhudi hizo zinafanyika kwa siri na kwa uwazi. Katika tafakuri yangu nikajikuta najiuliza swali hi; JE NI NANI ALIHAMIA AU PENGINE ALIRUDI CCM AKAFANIKIWA? Mafanikio haya ni ya kisiasa na sio kiuchumi.
Nani ameweza kuwa mzalendo wa kweli CCM ambaye alitoka Upinzani? Kwahio, kwa vijana wenzangu wenye kutafuta future ya maisha yao ya baadae, nawashauri waangalie upepo unakoelekea. Ila kama una mtu unamfahamu alihama upinzani na kufanikiwa basi tumtaje hapa jukwaani. Atajwe kwa jina na wote tukubali, kama hakuna tujiulize mara mbili mbili na sio kuwashauri wenzetu wahame!!!
@Juliana shonza,amefanikiwa kuwa mama kijacho.
Usipindishe mjadala, tulia kwanza ntarudi kwako
Usipindishe mjadala, tulia kwanza ntarudi kwako
Kufanikiwa uandike wewe, mimi nnapouliza "Kufanikiwa" kisiasa ni nini? useme kuwa nnapindisha mjadal. Wewe upo sawa kweli?
"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?
Kufanikiwa uandike wewe, mimi nnapouliza "Kufanikiwa" kisiasa ni nini? useme kuwa nnapindisha mjadal. Wewe upo sawa kweli?
"Kufanikiwa" kisiasa ni nini?
Hapana mkuu inabidi ufafanue zaidi.
Unaposema kufanikiwa ni individually au kuleta mafanikio ktika chama alichohamia?
Kama ni individually inawezekana wapo akiwemo Wasira ambaye kama angeendelea kuwa chadema, mpaka leo asingepata kuwa waziri. so yeye na familia yake wananeemeka.
Kuhusu kuleta mafanikio katika chama chake na serikali kwa ujumla mmmh! sidhani zaidi ya kujiunga katika mtandao wa kifisadi na kufanikisha kunyofoa meno na kucha za watu wanaoonekana ni kikwazo kwao.