Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Leo kwenye mitandao ya kijamii likiwemo jukwaa la jamii forum lililofungwa wako live wanamwonesha Mh Rais Samia na mwigulu lameck madilu mchemba wanafungua soko la karikaoo baada ya kuwa kwenye matenengezo ya Muda mrefu baada ya kuwa limechomwa moto na BAADHI ya wafanya biashara walizokuwa wanadaiwa mabilioni ya FEDHA na Mabenki mengi nchini na nje ya nchi Ili Liko wazi na kwa HABARI zaidi zinadai hata ndugu wa vigogo waliusika katika kuchoma moto soko lire Sasa je Leo itasomwa ripoti ya tume iliyoundwa na kassimu Majaliwa?
Moja ya makosa aliyokuwa akiyafanya kassimu Majaliwa na Dr Samia ni kuunda tume LAKINI majibu wanayakumbatia Sasa tunajiuliza tume Zina maana Gani?
Narudia Tena Leo tupewe ripoti tuyajue majitu yaliyoujumu soko ILO hata kama ni shemeji na ndugu wa wake na waume zenu.
Tuna haki kujua maana Kodi zilizotumika kulikarabati ni zetu na.zenu tafadhali tujuzane