Nani Alibuni Jina la "Tanzania?"

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,452
Reaction score
34,004
Jambo tunataka kujadili hapa ni kwa nini wanakataa kwa jina la Tanzania aliyelibuni ni Mohammed Iqbal Da... akiwa kijana mdogo wa miaka 18 akisoma shule ya sekondari hili ndio jambo ambalo sisi tujiulize kwa nini..."
  • Jinsi Jina Lilivyotengenezwa:
    • "Anasema nilichukua karatasi kwanza nikaandika bismillahi rahman rahim... baada ya hapo nikaandika jina la Tanganyika kisha nikaandika jina la Zanzibar halafu nikaandika jina langu... na madhehebu ya dini yake ya Kiislamu Ahmadiah..."
    • "Nilichukua herufi tatu kutoka jina la Tanganyika yaani TAN... na Zanzibar akachukua ZAN... nikachukua herufi ya kwanza ya jina langu... ambayo ni herufi I kisha akachukua herufi ya kwanza ya dini yake yaani Ahmadia (A)... nikawa nimepata jina la Tanzania..."


View: https://youtu.be/tNz35YMhCPM?si=uWpWcOnvZLRF-zG2
 
Hivi Mzee 80:20 imeisha au bado ipo???
 
Katika mahojiano yake

Jibu: Kabla ya kulipeleka kunakohusika serikalini nilifanya utafiti mdogo na kugundua kuwa nchi nyingi za Afrika majina yao yanaishia na IA kwa mfano EthiopIA, ZambIA, NigerIA, TunisIA, SomalIA, GambIA, NamibIA, LiberIA, MauritanIA. Baada ya utafiti huo nikapendekeza na kuamua kwamba jina TANZANIA ndilo litumike kuwakilisha nchi hizi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar. Kwa maana hiyo jina TANZANIA limezaliwa kutoka katika majina manne ambayo ni Tanganyika, Zanzibar, Iqbal na Ahmadiyya.

Pia baada ya kufanya utafiti na kuhundia nchi nyingi za Africa zinaishia ja IA nalo ikamshawishi amalizie IA

Kusema kuwa I na dini yake A hizo zilikuwa mbwembwe zake

Inapendeza pia kwamba mbwembwe zake za kuwa jina lake ni I na dini yake A

Ingawa hakuna dini ya A, au ipo dini ya namna hiyo?

Dini ni Uislam. Hizi zehebu Shia, Sunni au Answsr ....sio dini, kama ni dini nieleweshe...
 
Mzee Mohamed "unasema Tatizo ni wanakataa kuwa aliyebuni jina Tanzania.....", ni kina nani hao wanakataa?

Barua ya wizara ilisema apokee 200 yeye na wenzake 16, tunaomba majina ya hao 16 pia tuyafahamu.

Infact, Hongera kwa juhudi unazozionyesha kwenye kuiweka sawa Historia ya hili Taifa.
 
Pia kwa kuuliza tu, huyu muheshimiwa sana aliyebuni jina la Tanzania, Anajulikana kama Mohammed Iqbal Dar. Sasa, jina lake ni Mohammed, au jina lake ni Iqbal? Iqbal sio jina la baba yake?

Haya majina nahitaji ufafanuzi.
 
Pia kwa kuuliza tu, huyu muheshimiwa sana aliyebuni jina la Tanzania, Anajulikana kama Mohammed Iqbal Dar. Sasa, jina lake ni Mohammed, au jina lake ni Iqbal? Iqbal sio jina la baba yake?

Haya majina nahitaji ufafanuzi.
Hamna kitu hapo tumeibiwa
 
Kuna nchi iliweka utaratibu kuwa ukiwa mwandishi lazima uwe na cheti cha afya ya akili.
Kama ilivyo walio kwenye sekta ya chakula na vinywaji lazima wawe na vyeti vya afya, ambavyo vinakuwa reviewed every six months

Ni jambo la msingi sana kujua afya ya akili ya mwandishi. Jana nilisoma mada ya Pachal mayala, nashangazwa mwandishi anaanza kuandika mada...anasema voice from within, au sauti kutoka ndani

Nikajiuliza haya sauti kutoka ndani ni jambo la kitume au basi tu mawazo yake anavyoyatoa ?

Kama ni mawazo yake, ni jambo la kushangaza kuona mtu akisema nimeambiwa from within, au kutoka katika ubongo wake. Is that not the concept of thinking? Nachowaza naandika sina haja ya kusema sauti kutoka ndani inanituma niseme.....

Strange
 
Ndondombi...
Vita subira wanaokataa watajitokeza hapa utawajua.
 
ANAWEKA SAWA KIVIPI AU ANAPOTOSHA TU
Oga...
Umepata kusomeshwa shule hayo hapo chini au kusoma katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika?:

TAA EXECUTIVE COMMITEE 1953

J. K. Nyerere (President) Abdulwahid Kleist Sykes (Vice - President), J. P. Kasella Bantu (Secretary General), Alexander M. Tobias, Waziri Dossa Aziz, Dr. Michael Lugazia, Hamisi Diwani, Tewa Said Tewa, Denis Phombeah, Z. James, Dome Okochi, C. Ongalo na Patrick Aoko.

(Tanganyika Standard 19th June, 1953).
 
Sawa,ebu tuambie hilo jina limetusaidia nini katika kupambana na umasikini wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…