Nani alaumiwe

Nani alaumiwe

Baada ya kumaliza tendo walikua na 72hrs yakufikiria na kujua wafanye nini kabla mimba haijatungwa, elimu yao ni level ipi?
 
Baada ya kumaliza tendo walikua na 72hrs yakufikiria na kujua wafanye nini kabla mimba haijatungwa, elimu yao ni level ipi?

Me degree Ke certificate mkuu
 
Me degree Ke certificate mkuu
ME mzembe sana, tena mzembe kupitiliza, inamaana haelewi kuhusu masuala ya uzazi ata kwa kawaida tu? kuhusu hatari za kupeana mimba kiholela?
 
Hakuna wa kulaumiwa hapo, waanze kununua nepi.
 
ME mzembe sana, tena mzembe kupitiliza, inamaana haelewi kuhusu masuala ya uzazi ata kwa kawaida tu? kuhusu hatari za kupeana mimba kiholela?

Anajua kwamba akikojoa ndani atampa mimba ila utetezi wake ni kwamba alimuuliza mwenzie wakati wa tendo na aliamini alichojibiwa
 
Jamaa anamlaumu Demu wake amemtegeshe Mimba kwa kigezo aliuliza kama amwage ndani au nje demu akachagua ndani...

Demu anajitetea wakati wa tendo asiaminiwe sababu hakua kwenye nafasi ya kufanya maamuzi sahihi labda angeulizwa kabla ya tendo...
Hongera mkuu kwa kupata mimba, jiandaeni kulea sasa
Naona we umeridhika ila huyo bwanako ndo pasua kichwa
 
Back
Top Bottom