Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,166
- 45,872
Habari zenu wakuu,kama heading ilivo hapo juu,ni swali pana kidogo juu ya nani abebe lawama za vita hii kwa sababu nimejalibu kupitia pitia mitandaoni naona wengine wanadai amin alivamia tz kama kulipiza kisasi kutokana na uvamizi uliofanywa uganda na kina museveni na wenzake(supported by mwalimu) ,na hata wakati wa vita hii inadaiwa amin alituma ujumbe mara kadhaa kwa nyerere akiwa na lengo la kusitisha vita hivi lakini nyerere aligoma je hapa nani alaumiwe kwa kuanzisha vita hivi ? NB: tukichukulia kua uvamizi wa amin ulikua ni self defence
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app