Nani alaumiwe endapo CCM itashinda jimbo la Kinondoni na Siha?

Katika kosa ambalo chadema wamelifanya litakuja kuwagharimu ni kusimamisha mgombea katika jimbo la kinondoni na siha.

Ikumbukwe ya kwamba siku chache zilizopita tulisusia uchaguzi kwa sababu ya kutokuwa na imani na tume lakini pia tukaorodhesha na kasoro kuhusu tume na chaguzi zilizotufanya tujiondoe katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa longido,songea na singida.

Leo hii tunashiriki uchaguzi na tume ile ile ambayo tulidai kwa ushahidi haikutenda haki leo tunashiriki uchaguzi na uchaguzi huu na tume ile ile ambayo mbowe alilalamikia na kasoro zote alizozitoa lakini sijui kama tume imezifanyia kazi na uchaguzi huu ccm wana asilimia zote za kushinda

Na endapo ccm itashinda hii itakuwa ni dharau kwa wapinzani na hapo ndipo mtawapa la kuongea akina mtuliaa.

Je ikitokea tumeanguka ni nani alaumiwe kwanza katika hili maana tulisusa na sasa tunashiriki na tume ile ile ambayo tuliigomea sasa ikishinda ccm tutasemaje
CCM haiwezi kushinda hata mkitumia police mtaumia tu
 
Umeongea vema mtoa mada, kati ya vitu vitawaumiza chadema ni kushiriki huu uchaguzi ilihali walishasema hawata shiriki kwa sababu walizotoa.

Mimi ninawaomba wasiwambie wananchi kwenda kulinda kura.

Watakapo fanyiwa rafu wasilalamike.
 
Unarudi kushiriki Uchaguzi bila ya kueleza sababu za kubadili uamuzi
Press release ya Jana imetaja tu majina ya Wagombea haikueleza sababu za kurudi japo za kususia zilielezwa

Mtatiro alimtukana Lipumba wiki iliyopita kwa kusema atashiriki Uchaguzi wa Kinondoni , Mara paaa na Mabosi wake wa Chadema nao wametia Timu kajikuta Hana pia kushika
Lipumba kwani chama gani?
 
Umeongea vema mtoa mada, kati ya vitu vitawaumiza chadema ni kushiriki huu uchaguzi ilihali walishasema hawata shiriki kwa sababu walizotoa.

Mimi ninawaomba wasiwambie wananchi kwenda kulinda kura.

Watakapo fanyiwa rafu wasilalamike.
Kulinda kura lazima kwani 'wale wezi' wataiba kama kawa yao.
 
Kwa jimbo la Kinondoni, nafikiri UKAWA walipaswa wakae pamoja ili wasimamishe mgombea mmoja,whether anatoka CUF au CDM au NCCR.Why, kwa kuwa lengo ni kuimarisha umoja badala ya kwenda kuzigawa kura.
Aidha, kama ni kufanya betting, CUF ingependeza zaidi waungwe mkono kwenye jimbo hili la Kinondoni. Kwa nini? Kwa kuwa wamekuwa na ngome imara kwa miaka na miaka.
Vinginevyo, tuombe wananchi wawe na mtazamo wa kimapunduzi ili waache itikadi za kivyama na kwenda kupiga kura za kimaslahi mapana ya wananchi na jimbo kwa ujumla.Hili litasaidia kuziepuka hila za Bw.Mchumia Tumbo ambaye ameamua kutuona Watanzania na WanaKinondoni kuwa "malofa".
 
Kamanda :
1. Mwenyekiti alijiamulia kususua uchaguzi bila kutushirikisha wanachama; sijui alidhani chama ni sacos yake binafsi au alidhani uenyekiti ni ufalme ambapo unaweza kuamua tu
bila kuwashirikisha watu?! Uamuzi wa kususa uchaguzi haukuwa wa chama.

2. Kushiriki uchaguzi ndo kukuza demokrasia yetu.

3. Siasa za visasi za yule 'mshitaki wa taifa letu' hazisaidii kujenga chama, zinasaidia kukifanya chama kionekane ni kama genge la wahuni wasiostahili kupewa dhamana ya kuongoza nchi. Inabidi kufanya siasa za kistaarabu ili kujenga taswira nzuri ya chama.

4. Wa kulaumiwa ni mbowe kwa kushindwa kukiimarisha chama toka Dr Slaa ameondoka.
Ahsante kwa muono mpana.
Haya niliyasema hapa nikaonekana kuwa ni M-CCM wa kutupwa.Kwangu mimi, kushiriki kunakuwa na tija zaidi.
Ukisikia uchakachuzi unatokea, ujue tofauti ya kura ni ndogo.Lakini elimu ikitolewa kwa wananchi, wanaokusudia kuwasimamia wananchi wanaweza kushinda kwa kishindo na hivyo kuondoa uwezekano wa kuibiwa kura.
 
Mpaka hoja zao zitakapojibiwa

Wana Chadema wa Longido, Singida na Songea Sijui wanajionaje Sasa hivi walivyoachwa solemba na kikundi cha kina Mbowe

Wana CCM wa Siha na Kinondoni wanajisikiaje?
Toka lini CCM wameanza utaratibu wa kuteua wagombea?
Uchaguzi huru CCM haipati hata robo ya kura za CDM Hai na Kinondon
 
Katika kosa ambalo CHADEMA wamelifanya litakuja kuwagharimu ni kusimamisha mgombea katika jimbo la Kinondoni na Siha.

Ikumbukwe ya kwamba siku chache zilizopita tulisusia uchaguzi kwa sababu ya kutokuwa na imani na tume lakini pia tukaorodhesha na kasoro kuhusu tume na chaguzi zilizotufanya tujiondoe katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Longido, Songea na Singida.

Leo hii tunashiriki uchaguzi na tume ile ile ambayo tulidai kwa ushahidi haikutenda haki leo tunashiriki uchaguzi na uchaguzi huu na tume ile ile ambayo mbowe alilalamikia na kasoro zote alizozitoa lakini sijui kama tume imezifanyia kazi na uchaguzi huu CCM wana asilimia zote za kushinda

Na endapo CCM itashinda hii itakuwa ni dharau kwa wapinzani na hapo ndipo mtawapa la kuongea akina Mtuliaa.

Je ikitokea tumeanguka ni nani alaumiwe kwanza katika hili maana tulisusa na sasa tunashiriki na tume ile ile ambayo tuliigomea sasa ikishinda CCM tutasemaje?

Sidhani kama kuna mtu wa kulaumu nadhani tungewalaumu viongozi wa chadema kama wasingeshiriki. Pamoja na mapungufu yanayojitokeza usitegemee kwamba kuna mtu atakuonea huruma utakaposema hutashiriki kwenye uchaguzi unaokuja. Dawa si kutoshiriki bali kijipanga kuwa makini katika kila chaguzi na kuziba zile nafasi zilizotumika kuaribu mchakato mzima wa upigaji kura. Nadhani tunajifunza mambo mengi zaidi tunaposhiriki kupiga kura kulipo tunapokuwa hatushiriki.
 
Umeongea vema mtoa mada, kati ya vitu vitawaumiza chadema ni kushiriki huu uchaguzi ilihali walishasema hawata shiriki kwa sababu walizotoa.

Mimi ninawaomba wasiwambie wananchi kwenda kulinda kura.

Watakapo fanyiwa rafu wasilalamike.
Kwanini mnafanya rafu?
 
Katika kosa ambalo CHADEMA wamelifanya litakuja kuwagharimu ni kusimamisha mgombea katika jimbo la Kinondoni na Siha.

Ikumbukwe ya kwamba siku chache zilizopita tulisusia uchaguzi kwa sababu ya kutokuwa na imani na tume lakini pia tukaorodhesha na kasoro kuhusu tume na chaguzi zilizotufanya tujiondoe katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Longido, Songea na Singida.

Leo hii tunashiriki uchaguzi na tume ile ile ambayo tulidai kwa ushahidi haikutenda haki leo tunashiriki uchaguzi na uchaguzi huu na tume ile ile ambayo mbowe alilalamikia na kasoro zote alizozitoa lakini sijui kama tume imezifanyia kazi na uchaguzi huu CCM wana asilimia zote za kushinda

Na endapo CCM itashinda hii itakuwa ni dharau kwa wapinzani na hapo ndipo mtawapa la kuongea akina Mtuliaa.

Je ikitokea tumeanguka ni nani alaumiwe kwanza katika hili maana tulisusa na sasa tunashiriki na tume ile ile ambayo tuliigomea sasa ikishinda CCM tutasemaje?
Hiyo itakuwa ni TRUE DEMOCRACY kama ile ya STEEL PULSE
 
Umeongea vema mtoa mada, kati ya vitu vitawaumiza chadema ni kushiriki huu uchaguzi ilihali walishasema hawata shiriki kwa sababu walizotoa.

Mimi ninawaomba wasiwambie wananchi kwenda kulinda kura.

Watakapo fanyiwa rafu wasilalamike.
Chadema hawajielew hata wanasimamia nn
 
Mpaka hoja zao zitakapojibiwa

Wana Chadema wa Longido, Singida na Songea Sijui wanajionaje Sasa hivi walivyoachwa solemba na kikundi cha kina Mbowe
Chadema walijitoa mhanga hata katika jimbo walilokuwa wanamiliki (longido) na hii yote ilikuwa ni kutuma ujumbe. Hata hivyo yanayotokea ni maamuzi ya kikao cha juu cha Chama. Sioni ni kwanini wana CCM mnashindana kuanzisha threads humu!! Inaonekana hamko constable na cdm kuingia ulingoni, wakati vyama vinavyoshiriki ni vingi zaidi ya CDM !!

Viti hivi vikienda CCM wakulaumiwa ni wananchi (WaTz). Kwa kuridhika na uduni huu wa nchi, hata baada ya ccm kuongoza miaka zaidi ya 57.
 
Chadema watabeba lawama kubwa kwani maamuzi mengi yamekuwa yakitoka juu bula kushirikisha ngazi za chini ambazo ndi wadau muhimu kwani kwanza walitangaza kususia uchaguzi bila watu wa chini kushirikishwa lakini hata walipoanua kurudi walidharau michakato ya kura za maoni iliyokwisha fanyika na kuleta mgombea wao
 
Kwangu kushinda ccm it's not a story and vice versa is true.
Ila Chadema inabidi itoke hadharani ituambie ubaya wa tume kwa majimbo ya songea, singida na longido uko wapi?
Na uzuri wa tume kwa majimbo ya siha na kinondoni uko wapi, otherwise wanasiasa wahuni watazidi kuendesha AKILI zetu.

Yote kwa yote nawapongeza Chadema kwa maamuzi ya busara ya kushiriki chaguzi, uhai na kipimo cha Chama ni kushiriki chaguzi.
 
Wana CCM wa Siha na Kinondoni wanajisikiaje?
Toka lini CCM wameanza utaratibu wa kuteua wagombea?
Uchaguzi huru CCM haipati hata robo ya kura za CDM Hai na Kinondon
Chadema nao wameiga Ndugu zao wa CCM kuteua Wagombea juu kwa juu?
' Kwanini Mchague CCM B wakati CCM A ipo?'- Mzee Ally Hassan Mwinyi 2015
 
Back
Top Bottom