Nani aende shule kati ya rais na mawaziri wake!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani aende shule kati ya rais na mawaziri wake!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Apr 20, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Kwanza napenda kumshukuru yule mwanasheria aliemwaga live mbele ya waumini wa wawekezaji kwamba mawaziri ndio wanachangia sana kutofanikiwa kwa yale wanayoyaeleza...katika kuhamasisha yalioongelewa amesema marais wanaonekana wasanii kutokana na kutoa ahadi hewa na kuishia kupiga makelele...na kusema mawaziri wamekuwa wakikwamisha uwekezaji ktk sekta muhimu na hivyo kuomba kama wanaweza pelekwa shule baada ya kuchaguliwa

  alikuwa ni rais wa burundi aliejibu awawezi maana wameshamaliza shule...
  akafwata mtukufu rais wetu jm kikwete aliesema awawezi kwenda shule mnaitaji wawekezaji mkae chini mkubaliane......

  Katika hayo majibu unaweza jua nani anatakiwa kwenda shule kati ya rais na mawaziri

  Naomba Jibu
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Rais ndiye haswa anatakiwa aende shule ili ateuwe watu walio makini.
   
 3. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  si mawaziri si raisi wote wanahitaji darasa!!
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  Mimi sitaki kabisa, waende shuli alizojenga nani, mkulima, mfanyabiashara au mfanyakazi anayekatwa kodi, kama ni Mkapa ndo aende peke yake yeye kajenga shule tena za msingi, hawa wengine wajenge shule ndo wakasome kwenye hizo shule watakazojenga. Samahani nimejibu kwa hasira kidogo.
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ****** ndio aingie skuli kwani hajui kwa nn tanzania ni maskini ilihali anawachia wazungu wakwapue madini yetu yenye garama kubwa yeye akishinda kuzunguka kuomba misaada nani sasa mweye akili hapo anaechukua madini yako kuyauza kwa bei kubwa na kukupa kamsaada kiduchu? au asiejua umuhimu wa kulinda raslimali zake???? Gadafi ndio mjanja kayatunza mafuta kwa manufaa ya walibya pekee.
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Mzee wa Kaya ndio aingie skuli kwani hajui kwa nn tanzania ni maskini ilihali anawachia wazungu wakwapue madini yetu yenye garama kubwa yeye akishinda kuzunguka kuomba misaada nani sasa mweye akili hapo anaechukua madini yako kuyauza kwa bei kubwa na kukupa kamsaada kiduchu? au asiejua umuhimu wa kulinda raslimali zake???? Gadafi ndio mjanja kayatunza mafuta kwa manufaa ya walibya pekee.
   
 7. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Kwani nani yupo juu ya mwenzake ambaye twaweza sema yeye ndiye mwenye maamuzi yote kwa mwenzake??????????
  Basi huyo aliye juu ambaye anawajibika kwa hilo kuliko mwenzake, aende shule apate na elimu ya kuyacontrol hayo yote.
  Ni maoni yangu tu jamani..!
   
 8. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  shule ya level gani? mbona rais wetu ni doctor.? nadhani rais wetu anaogopa kuteua mawaziri waliosoma kumzidi yeye.
  vinginevyo sioni sababu ya kumwacha professor maji marefu hali anakigezo cha kuteuliwa (mbunge) tehe tehe tehe..........
   
Loading...