Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,988
- 142,388
Ni mjinga asiyejua hata asichojua.Huyo Bibi ana confidence ya juu sana kwenye jambo hata la ujinga. Siku ile wakati anasdma marekani mafuta lita moja ni dola elfu 8, alikua na confidence hiyo hiyo. Ndio alivyo
Huyu tupo nae mpaka awe mwehuUnajua bana….ukiwa huna akili ni hauna tu.
Hakuna namna hata ufanyeje.
Ukiachiwa uongee lazima utaongea pumba tu na kuzidi kujichoresha vile namna unavyohusika na jambo.
Sasa huyu Samia leo anasema eti hiyo ripoti feki ya Chande ni mali yake binafsi na wasijiyokeze watu kudai ownership [whatever the hell that means].
Kwanza, hakuna aliye na akili timamu atayedai ownership ya ripoti ya tume batili iliyoundwa na Rais haramu?
Pili, huyo Samia kathibitisha lile jambo ambalo tulilipigia makelele, kwamba, hiyo tume si huru wala halali. Mgongano wa kimaslahi ulikuwa wazi kabisa.
Bure kabisa!
Huyu mtu maisha yake yameshaharibika kisaikolojia mpaka siku anakufa.Huyo Bibi ana confidence ya juu sana kwenye jambo hata la ujinga. Siku ile wakati anasdma marekani mafuta lita moja ni dola elfu 8, alikua na confidence hiyo hiyo. Ndio alivyo
Alikubali kutumika na akina Msoga wacha atesekeHuyu mtu maisha yake yameshaharibika kisaikolojia mpaka siku anakufa.
Overconfidence ni moja ya characteristics za idiots!Huyo Bibi ana confidence ya juu sana kwenye jambo hata la ujinga. Siku ile wakati anasdma marekani mafuta lita moja ni dola elfu 8, alikua na confidence hiyo hiyo. Ndio alivyo
hahahaaa utajua ujui ata tapela anaongeag kwa confidence .Huyo Bibi ana confidence ya juu sana kwenye jambo hata la ujinga. Siku ile wakati anasdma marekani mafuta lita moja ni dola elfu 8, alikua na confidence hiyo hiyo. Ndio alivyo
Hawa wote wamelipwaLilikua kusanyiko la minyang'au inayotafuna kodi za watanganyika na kumwaga damu zao.
View attachment 3578074
Pesa za damu .Hawa wote wamelipwa
Hapa hata akipaisha referee anasema mpira uliingia nyavuni.😄
Ova