Sijui kama umeelewa nilichomaanisha, Nandy anaendelea kuwa mhanga wakati Billnas anapotezewa.
Nimekuelewa sana mkuu, ila mimi nilijiuliza swali moja tu kuhusu origin ya udhalilishaji....nani aliechukua ile video?? ilikuwa ni Nandy, sasa kama umechukua video ina maana kuna kumbukumbu unataka uwe nayo bahati mbaya ndio imevuja......kwa hiyo kwa kesi hii amejidhalilisha mwenyewe hana wa kumlaumu (kibinadamu inaweza kumtokea yeyote yule hata mimi)....mwanaume kutokupondwa kwenye mambo ya mapenzi hiyo ni nature mkuu haitaisha leo wala kesho, ndivyo ilivyo sanasana atasifiwa.
Siku zote mwanamke ni receiver,she was born to receiveUmenipata vyema mkuu, hapo ndo mada yangu ilipo. Kwakweli nimeshangaa sana kuona Nandy mwenyewe kashika camera akirekodi, mara nyingi wanaume ndo huwa wanafanya hivyo. Lakini hata cameraman asingekuwa yeye bado Nandy angedhalilishwa huku Bilnas akiachwa, imezoeleka hivyo, wanawake hugeuka wahanga huku wanaume wakionekana wananja au wasiguswe kabisa. Sucha a crazy world we live in.
Samahani mkuu na mimi hiyo video nataka niione, inapatikana wapi kiongozi?Salam,
Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo cameraman or camerawoman if you will.
Sijui nani kavujisha ila kuna kitu kimoja nimeshuhudia katika utoaji maoni ya hii video nacho ni- Women Shaming. For some reason, msanii Nandy anapondwa, anatukanwa, memes za kumdhalilisha zinatumwa kushoto na kulia, huku Billnas akionekana kama mjanja au hausiki kabisa. Nimesikitika zaidi kuona hata wanawake wenzake hawapo upande wake zaidi ya kufurahia madhila yaliyomkuta mwanamke mwenzao
Kwa upande wa Billnas, yeye kinachosemwa ni ghetto lake kwamba ni chafu ilhali hakuna mwenye uhakika kile ni chumba cha nani, labda ni cha Nandy mwenyewe au sio cha yeyote kati yao. Somehow Billnas is given a pass to go under the radar.
Kwa mwendo huu udhalilishaji wa wanawake hauwezi kuisha hasa kama wanawake wenyewe ndo wapo mstari wa mbele kufurahia madhila ya wenzao na mfumo dume hauwezi kukoma katu.
Nimefarijika kidogo kumsikia Katibu wa BASATA akielezea bila kutetea au kuponda upande hadi pale watapokuwa na ushahidi wa kutosha na kawaongelea wasanii wote wawili kama wahanga/wahusika evenly.
Rai: wapenzi acheni kurekodi video muwapo faragha au kutumiana picha za utupu kwa sababu zozote zile. Huwezi jua zinaweza vuja hata kwa bahati mbaya, kuna kuibiwa simu, kupoteza simu, kudukuliwa but kuvuja ni kuvuja it doesn't matter zimevuja kwa njia gani. Mpenzi wako video za nini.. Pillow talk should be intimate between the two of you sio mambo ya kurekodiana.
Ni "horror movie" mkuu.Utapata ndoto za majinamizi.Don't dare watch that video!HahahahaaaaSamahani mkuu na mimi hiyo video nataka niione, inapatikana wapi kiongozi?
Mpenzi wako video za nini.. Pillow talk should be intimate between the two of you sio mambo ya kurekodiana.
hahaaa utoto bwana,unaexperiment vitu vingi........inauma kwa sasa ila atapona,many have gone through the same thing na wamepona,and I don't think it will affect her career as she is 'purely talented'....sio analazimisha fani
Wanawake huwa hawapendani daima kiongoz hvyo hicho ndo kinapelekea wanakosa nguvuSalam,
Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo cameraman or camerawoman if you will.
Sijui nani kavujisha ila kuna kitu kimoja nimeshuhudia katika utoaji maoni ya hii video nacho ni- Women Shaming. For some reason, msanii Nandy anapondwa, anatukanwa, memes za kumdhalilisha zinatumwa kushoto na kulia, huku Billnas akionekana kama mjanja au hausiki kabisa. Nimesikitika zaidi kuona hata wanawake wenzake hawapo upande wake zaidi ya kufurahia madhila yaliyomkuta mwanamke mwenzao
Kwa upande wa Billnas, yeye kinachosemwa ni ghetto lake kwamba ni chafu ilhali hakuna mwenye uhakika kile ni chumba cha nani, labda ni cha Nandy mwenyewe au sio cha yeyote kati yao. Somehow Billnas is given a pass to go under the radar.
Kwa mwendo huu udhalilishaji wa wanawake hauwezi kuisha hasa kama wanawake wenyewe ndo wapo mstari wa mbele kufurahia madhila ya wenzao na mfumo dume hauwezi kukoma katu.
Nimefarijika kidogo kumsikia Katibu wa BASATA akielezea bila kutetea au kuponda upande hadi pale watapokuwa na ushahidi wa kutosha na kawaongelea wasanii wote wawili kama wahanga/wahusika evenly.
Rai: wapenzi acheni kurekodi video muwapo faragha au kutumiana picha za utupu kwa sababu zozote zile. Huwezi jua zinaweza vuja hata kwa bahati mbaya, kuna kuibiwa simu, kupoteza simu, kudukuliwa but kuvuja ni kuvuja it doesn't matter zimevuja kwa njia gani. Mpenzi wako video za nini.. Pillow talk should be intimate between the two of you sio mambo ya kurekodiana.
Its always like thatfor us women and its for a reason.
Sisi wanawakw huwa tunachukyliwa kuwa demi-gods. We bring forth life. We make men, or destroy them.
Such are our powers. We are required to stay strong in the face of calamity and never be seen degrading ourselves.
When hell breaks loose society foesnt think twice before tearing us apart.
Tujitambue cheo chetu, na hadhi zetu na nguvu tuliyo nayo kwa jamii yetu na tusikubali kujidhalilisha