Simi ni habari ingine ila ndio vile nyimbo zake sio za kuchezeka sana ndio maana bongo bado hajapata hype. Kwa naija wanamkubali sana maana anajua kutunga na ana sauti unique
Je mbona jolie amumzungumzii,niliimpenda sana kwenye ile ngoma yake ya 'Haimanishi'.
Lakin maua sama ni 'hot'hapa kidogo naona kama sipaelewi.mbona wakawaida sana.
Kupata tuzo sio kipimo cha kujua sana nakupa mfano
Kwenye hip hop kuna mtu anaitwa one the incredible pamoja na Stereo hawa jamaa wanajua ila Tuzo hawajawai pata ukienda uko Us watu tunajua J cole na Chris brown ni wakali ila maajabu kuna tuzo kubwa hawajawai kwapua na hawana time nazo
Kupata tuzo sio kigezo cha kujua. Mbaya usilo lijua hizo tuzo nying hutolea bila usawa na uhalalo wengi wana fake kwa kununua ili iwe rahis kwao kwenye branding